Makamba ataka mwanae amrithi Shelukindo...

Yakhe, Makamba kurithisha watoto wake!

sikulewi

lakini kwa kukuhabarisha tuu ni kuwa SHELUKINDO sasa hivi ni kama HEADLESS CHICKEN anatapa tapa tuu...na mbaya zaidi last time alishinda nominationnarrowly tena alisumbuliwa na mzee mmoja MWANAKIJIJI kule Bumbuli ambaye hakufanya hata kampeni

Fact ni kuwa anasema na nishamsikia kwa masikio yangu kuwa January akiiingia kule basi ndio utakuwa mwisho wake Kisiasa.

fact nyingine ni kuwa juzi tuu Mzee Makamba alikuwenda Lushotoakaacha kwenda kata za jimbo la Bumbuli in deference asionekane anafanya kampeni dhidi yake huyo SHELUKINDO ambaye politically keshakuwa bankrupt na way out anayoiana yeye ni pre-empt jambo ambalo halipo
 
wajameni mimi nilikuwepo Bumbuli just last month, hayo ya makamba yanasemwa lakini hayana nguvu kabisa. Hata hivyo, nionavyo mie wote hawafai sio shelukindo wala Januari huyoo, labda viti mahsusi a.k.a.viti maalum!
 
January ana creditials zote kuwa Mbunge, kama ni kweli litakuwa na wazo la mbolea sana. I can see this young man ana excel katika nyadhifa za juu huko mbeleni.

Tatizo watu wana mhukumu January kwa kuangalia utendaji wa baba yake badala ya kumuangalia January kama January, the guy is very intelligent and the future is bright for him.

Hawa ndio calibre ya vijana tunao wataka kule mjengoni go January...
 
Shelukindo yupi unamzungumzia, huyu aliyezaa na dada yake?

1207636116_1web.jpg
 
maneno yako mazima na si hivyo tuu hawa wabunge ma dinosaurs waliopo CCM matumbo joto

kwangu i careless kama mgombea ni CCM au upinzani lakini we need more young turks kugombea ubunge na kuingia kule Bungeni

we need new ideas and thinking otherwise tutabaki na hawa wazee mwishowe tutakuwa COUNTRY FOR OLD MEN
 
January ana creditials zote kuwa Mbunge, kama ni kweli litakuwa na wazo la mbolea sana. I can see this young man ana excel katika nyadhifa za juu huko mbeleni.

Tatizo watu wana mhukumu January kwa kuangalia utendaji wa baba yake badala ya kumuangalia January kama January, the guy is very intelligent and the future is bright for him.

Hawa ndio calibre ya vijana tunao wataka kule mjengoni go January...

Yaani masatu mimi nakupa point well done!....(kwenye blue)...

alafu hii topic sasa hivi itapoteza mwelekeo maana sijui hata baraka ameingiliaje kwenye hii issue wakati wanaoongelewa ni watu wengine....and baraka wala hajihusishi na mambo ya politics wala mzee shellukindo hajasema anataka kumrithisha.......
 
Ninamwongelea mmoja wa wabunge wazee waliojichokea na mawazo yao mgando, william shelukindo!
 
duh, mademu wotee mpaka kaenda kuzaa na dada yake, hafai hata kama akija 2020

Si hivyo tuu baba yake amekuwa akimsupport all the way kwenye utumbo wake huu maana mtoto wa kwanza utasema ilikuwa ni bahati mbaya basi watoto wa wili?

Inaonekana yule mzee Shelukindo ni iiresponsible ndani ya familia yake pamoja and this begs the question ataweza kuwashughulia wana Bumbuli?

Wanae 4 wana pasports za nje pamoja na Tanzania na kwa sheria zetu hilo ni kosa la kufungwa...halafu leo ana audacity to tell us eti wana Bumbuli hawahitaji damu mpya!!!

Hovyo sana yule mzee
 
Mmmh...Kazi ipo hapa wooooow...that's all i can say!....anyhoo these are my people mayn!....
 
Yaani masatu mimi nakupa point well done!....(kwenye blue)...

alafu hii topic sasa hivi itapoteza mwelekeo maana sijui hata baraka ameingiliaje kwenye hii issue wakati wanaoongelewa ni watu wengine....and baraka wala hajihusishi na mambo ya politics wala mzee shellukindo hajasema anataka kumrithisha.......

you are missing the point

imeletwa issue ya Ubunge Bumbuli akaanza kukandiwa Luteni Makamba then akavamiwa January then akavamiwa dada mtu

sasa na sie wengine tukajibu kuwa huyo incumbent mzee Shelukindo hana moral authority ya kuongoza KATA let alone JIMBO kama Bumbuli kwa sababu kashindwa kuiongoza familia yake ambayo ina Criminal kama Baraka ambaye among other things ni tapeli, mwongo, ana uraia wa nchi mbili mbili na mbaya zaidi ana degree ya kununua mambo ambayo baba yake anayajua sana lakini akaamua kumezea mate

hivyo hapo ngoma droo na kama angekuwa na akili basi angetangaza kungatuka akapewa heshima zake ili awapishe wengine na si ku pre-empt huu ujinga anaojaribu kuusambaza
 
Yeah i understand what you are saying GT.... hiyo ya makamba kutaka kumrithisha january Kenye kiti cha ubunge huko bumbuli na mwingine akasema siyo Janury bali ni Mwamvita right!?......That is when ikaingia issue ya baraka na criminal issue zake....na miye nilikuwa natoa wazo tuu kuwa kama Baraka naye angekuwa kwenye process ya kurithishwa kuwa mbunge wa bumbuli then ingekuwa ok kuongelea soo zake lakini Baraka is not on the picture bali ni baba yake....na kama wananchi wa Bumbuli walikuwa wanajua hilo then kwa nini wakamchagua mzee shellukindo kuwa mbunge wao?......... kwani tatizo la mtoto alilofanya linamuathiri na baba yake pia? au?......

ndiyo kama hapo juu mtu katoa comment kuwa mnamuhukumu January kwa makosa ya baba yake which ni watu wawili tofauti though ni baba na mtoto.....lakini matendo tofauti.

Kama ku -own passport mbili mbona watu wengi tuu wanafanya hivyo au sema kwa sababu yeye anajulikana kwa kosa hilo na degree za kununua watuw engi tuu wamenunua na wanarudi tanzania kuringishia wakati hata shule ku -attend hawaja attend.....
 
TL (Taji Liundi) na Mwamvita ni mikasi tu hakuna ndoa wala nini. Ila Mwamvita anafaa kuwa mbunge. Ninamfagilia sana dada yule.

Mikasi ndiyo maana yake nini?...maana sijaelwa mikasi =mkasi (scissor) right....sasa kwa nini watumie mikasi bila ndoa?
 
Hili ni swali gumu sana ila nitamuuliza Mangwair anipatie jibu (can I call a friend?)
 
Shelukindo yupi unamzungumzia, huyu aliyezaa na dada yake?

1207636116_1web.jpg

Huyo jamaa aliyeoa dada yake anagombea kiti gani?

Kama hakombei chochote basi hiyo mada haituhusu na ni udaku.

Na hao watoto wenye pasi za nchi mbili mbili wako chini ya miaka 18?

Kama ni watu wazima, haimhusu baba yao, wala sisi haituhusu. Si forum ya mipasho ya watoto wa Shelukindo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom