ni darasa la 4 ambaye baaadaye akawa mwl. wa UPE then akafukuzwa kwa kumbaka mwanafunzi...................hivi huyu mzee kiwango cha skuli vip?hebu ni juzeni maana anatumia ukapteni zaidi kufikisha ujumbe,memkwa au vp?
ni kibaka tu hana lolote.......................makamba na mwenzie wote mafedhuli tu hawana lolote.HiviChatanda Mary ni muumini wa dini gani. Je mke wa nani?
Kazi ipo,sasa yeye huyu mama aliongea bila hata kumtaarifu Katibu Mkuu ambaye ana report kwake???Nafikiri tunadanganywa hapa na huyu mzee! anyway,tusubiri basi CCM nao watoe tamko lao kama hilo la Mary lilikuwa lake............am fed up!