Makamba amruka Katibu wa CCM Arusha

hivi huyu mzee kiwango cha skuli vip?hebu ni juzeni maana anatumia ukapteni zaidi kufikisha ujumbe,memkwa au vp?
ni darasa la 4 ambaye baaadaye akawa mwl. wa UPE then akafukuzwa kwa kumbaka mwanafunzi...................
 
Hizo janja za nyani za Mzee Makamba mbona tunazifahamu siku nyingi sana tu!! Labda akajaribu huo mchezo wake kwa Watanzania wa miaka ya 47 kule watamsikiliza japo bila kumuamini vile vile.
 
Jamani hawa watu wa CCM sijui wakoje!
1. Werema: Kuhusu Katiba mpya, yalikuwa ni mawazo yangu!!
2. Kombani: Kuhusu Katiba mpya, nilikuwa natikisa kiberiti!
3. Makamba: Mawazo ya Chatanda ni ya kwake binafsi, si ya chama!
4...........
Sasa itafika wakati kabla ya kuongea wana-CCM wawe wanatamka kabisa kwamba haya ni mawazo yangu binafsi au ya Chama!
 
Kazi ipo,sasa yeye huyu mama aliongea bila hata kumtaarifu Katibu Mkuu ambaye ana report kwake???Nafikiri tunadanganywa hapa na huyu mzee! anyway,tusubiri basi CCM nao watoe tamko lao kama hilo la Mary lilikuwa lake............am fed up!

Hiyo ndo CCM, ukichemsha wanakuruka!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom