SwafiiView attachment 335938
Hapa utaweza jua na maeneo wanayopatikana
Kamwene...ndauliAiiseee...Kuna makabila mengine hata nilikuwa sijawahi kuyasikia......!!
Kamwene Wabena wenzangu.
Jamaa kaweka ramani hapo juuKuna sehem nimeona wamachinga au nilikua nimefumba macho, ningependa kila kabila liwekee mkoa au wilaya
Bado moja kabila hapo Zigula aka (Wazigula) hapo karibu na Sambaa kunatakiwa Ziguwa pia iwepoView attachment 335938
Hapa utaweza jua na maeneo wanayopatikana
Kumbe kuna Kabila inaitwa waswahili!? Wanatokea mkoa gani!?
Lipo hilo kabila angalia baada Walugulu utaliona hilo kabila la Luo aka (Waluo).
waswahili lugha yao ya asili ndio hiki kiswahili tunachotumia?Bado moja kabila hapo Zigula aka (Wazigula) hapo karibu na Sambaa kunatakiwa Ziguwa pia iwepo
Wamanyema lipo hilo kabila angalia wamanda kwa chini yake lipo hilo kabila la (Wamanyema)Mbona sijaliona kabila la Diamond? (Wamanyema)
kamwene ale mnofuAiiseee...Kuna makabila mengine hata nilikuwa sijawahi kuyasikia......!!
Kamwene Wabena wenzangu.