Makabila zaidi ya 128 yanayopatikana Tanzania Bara

Kuna mmoja kaweka mada inayohusiana na majina ya ukoo ya makabila mbalimbali nchini Tanzania, nimeona si vibaya nikaja na hili la list ya makabila yote yaliopo nchini kwetu Tanzania.

Hii itatusaidia sisi kuifahamu vizuri jamii zetu na asili ya nchi yetu (Historia ya jamii za Tanzania na asili zake)

Kwa kuanzia naanza na haya machache kama yafuatayo:

MBEYA:

1. Wanyakyusa
2. Waileje
3. Wasangu
4. Wasafwa
5. ......

MOROGORO:

1. Wapogoro
2. Waluguru
3. .......

MWANZA:

1. Wasukuma
2. Wakerewe
3. .........

SIMIYU:

SHINYANGA:

KIGOMA:

PWANI:

DODOMA:

SINGIDA:

ARUSHA:

MANYARA:

KILIMANJARO:

TANGA:

LINDI:

MTWARA:

RUVUMA:

NJOMBE:

RUKWA:

TABORA:

KAGERA:

MARA:

KATAVI:

Mnaweza kuyataja kwa makabila mnayoyafahamu...hii ni sehemu nzuri ya kutunza asili zetu zetu Tanzania!

Karibuni..

Mbeya hamna kabila linaloitwa `waileje" labda ulimaanisha wandali
 
Kuna mmoja kaweka mada inayohusiana na majina ya ukoo ya makabila mbalimbali nchini Tanzania, nimeona si vibaya nikaja na hili la list ya makabila yote yaliopo nchini kwetu Tanzania.

Hii itatusaidia sisi kuifahamu vizuri jamii zetu na asili ya nchi yetu (Historia ya jamii za Tanzania na asili zake)

Kwa kuanzia naanza na haya machache kama yafuatayo:

MBEYA:

1. Wanyakyusa
2. Waileje
3. Wasangu
4. Wasafwa
5. ......

MOROGORO:

1. Wapogoro
2. Waluguru
3. .......

MWANZA:

1. Wasukuma
2. Wakerewe
3. .........

SIMIYU:

SHINYANGA:

KIGOMA:

PWANI:

DODOMA:

SINGIDA:

ARUSHA:

MANYARA:

KILIMANJARO:

TANGA:

LINDI:

MTWARA:

RUVUMA:

NJOMBE:

RUKWA:

TABORA:

KAGERA:

MARA:

KATAVI:

Mnaweza kuyataja kwa makabila mnayoyafahamu...hii ni sehemu nzuri ya kutunza asili zetu zetu Tanzania!

Karibuni..

Mwanza
Wazinza
 
MBEYA:

Wilaya za Rungwe na Kyela
Wanyakyusa

Wilaya ya mbeya mjini.

Wasafwa

Mbozi.
Wanyiha.

Wilaya ya chunya
Wabungu

Wilaya ya ileje.
Wandali

Wilaya ya mbeya vijini.
Wamalila

Mbarali
Wasangu

Momba.
Wanyamwanga

Wakisu na Wanyasa wanapatikana sambamba na Wanyakyusa pia katika wilaya ya Kyela

Hawa wandali pia wanapatikana nchi za zambia,na malawi kwa uchache

Pia wanyakyusa kwa upande wa malawi province ya kalonga wanapatikana wakijulikana kama Ng`onde
 
NJOMBE:

Wilaya ya makete.
Wakinga

Wilaya ya ludewa .
Wapangwa
Wamanda

Wilaya ya njombe
Wawanji
Wabena

Wilaya ya wangingombe
Wabena
 
Sijaona wagigikoko

Jamani kuzungumzia composition ya population ya Tanzania siyo ukuabila. Ni kujivunia na kujifunza rasilimali watu za tanzania. Nahapa nikumbushe tu kuwa kuna Kabila jingine umesahau Kabila la wahutu. Hawa tumewapa uraia juzijuzi tu. Ni sehemu rasimi ya rasilimali watu za Tanwania.
 
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kama kweli Tanzania ina jumla ya makabila mia ishirin.Kwa hesabu zangu sijawahi kufikisha hata hiyo mia bila baadhi ya makabila kujirudia,.

Je kuna ukweli katika dhana hiyo kama tulivyokaririshwa tangu tukiwa wadogo?.

Nawaomba wanaforum tufikiri kwa pamoja na tujaribu kuyataja makabila ya Tanzania 120 ili tuweke takwimu sawa.

Naomba kuwasilisha.

------------------------
Heshima yako mkuu!!,dah asante sana kwa kunipanua akili.
 
Back
Top Bottom