Makabila ya TZ na sifa zake

suri

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
404
260
1.Wapare-ubahili,umalaya
2.Wachaga-Wasomi tokea enza mwalimu,wafanya biashara,wezi.
3.Wangoni-umalaya
4.Wahaya-majungu,umalaya,uchawi,wasomi wa enzi za mwalimu,majivuno.
5.Waha-uchawi
6.Wazaramo-ushirikina,kusuta/umbea,uvivu
7.Wasukuma-wakulima,wajinga
8.Wahehe-kujinyonga,umalaya
9.Wakurya-wababe,maaskari
10.Wamasai-wafugaji,wawindaji
Endelea kutoa sifa nilizozisahau kwa makabila hapo juu,pia nipe za makabila mengine
 
Wachaga,wazee kula mabint zao na wake wa vijana wao,ila madem sura nzur,ila miguu ahaaa.
 
Sie makonde, wakarim sana, tukioa msimu wa kupanda tunaacha baada ya mavuno (safisha ghala), ila dada zetu mh! ...siwez kunnyima ntu kitu nnacho. Ila hii sipendi ila basi tu ishakuwa hivyo.
 
Sie makonde, wakarim sana, tukioa msimu wa kupanda tunaacha baada ya mavuno (safisha ghala), ila dada zetu mh! ...siwez kunnyima ntu kitu nnacho. Ila hii sipendi ila basi tu ishakuwa hivyo.

MKUBWA DAWA Unatudhalilisha! we unadhani hao wengine wanataja sifa zao kweli? umeharibu siku yangu kweli leo, basi tu!!
 
MKUBWA DAWA Unatudhalilisha! we unadhani hao wengine wanataja sifa zao kweli? umeharibu siku yangu kweli leo, basi tu!!

Teh,sa kama kwel c anasema 2,kwan nan hajui kuwa makonde bingwa wa unyago na practise zake?2liza mzuka
 
Back
Top Bottom