MAJIRA: NCCR waibomoa CHADEMA

Nashindwa kuiponda NCCR Mageuzi kwani najua angalau wao na CHADEMA ndiyo wapinzani pekee waliobakia, lakin napata tabu kidogo kuona good co-perfomance ya bungeni kati ya CHADEMA na NCCR inavyofanya vizuri sana ktk kutetea maslahi ya taifa lakin ukija nje unakuta vita vya petty politicians wa NCCR kama Deo Kisandu dhidi ya CHADEMA, sasa hapo unajiuliza ni kweli hiki chama kina nia ya dhati kweli kama ya CHADEMA ktk kulikomboa taifa?
 
NCCR kudananilii zenu nyie wake za CCM na 2015 hamtapa kiti hata kimoja cha ubunge badala ya kupigania mabadiliko nyie mnadhoofisha mapinduzi hata hivyo habari tulizo zipata waliorudisha kadi hizo mliwagaiya nyie wenyewe na ni wanachama wenu baadhi lakini waliowengi ni wa Lisisiemu chama Ovyooooooo kabisaaaaaa
 
Nashindwa kuiponda NCCR Mageuzi kwani najua angalau wao na CHADEMA ndiyo wapinzani pekee waliobakia, lakin napata tabu kidogo kuona good co-perfomance ya bungeni kati ya CHADEMA na NCCR inavyofanya vizuri sana ktk kutetea maslahi ya taifa lakin ukija nje unakuta vita vya petty politicians wa NCCR kama Deo Kisandu dhidi ya CHADEMA, sasa hapo unajiuliza ni kweli hiki chama kina nia ya dhati kweli kama ya CHADEMA ktk kulikomboa taifa?
Mkuu,
Ukiwa balanced, utarusha makombora upande mmoja. Waambie wote waache kubomoana.
Rejea haya;
Chadema yaibomoa NCCR-Mageuzi
 
Hivi NCCR wapate wananchama hata 20 tu hata kutoka UDP watakosa kuweka picha kweli? au photoshop imebumba? Wanachama 220 si mchezo, kama kweli wamevuna basi kitengo cha uenezi hakijakidhi one of its job descriptions.
 
Back
Top Bottom