Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,033
Hoja haijajibiwa na kwa vile sina authority kwenye hili, nafuatilia tu kwa ukaribu.
By the way huyo Ndodi alizungumziaje kisa cha Petro alivokuwa na njaa, akaambiwa ale wote wenye miguu MINNE< na watambaao, na ndege?
Pili, wale mapepo waliowaingia nguruwe, nikiangaliwa ki mkuktadha ni kwam vile hao nguruwe walikuwa pale wakati huo, ingewezekana ikawa kondoo, mbuzi, ng'ombe etc, je na wenyewe tungewajengea hoja hiyo? Huyo kasoma theolojia ya wapi?
Unaposema kuwa eti nguruwe walivyoingiliwa na mapepo ndiyo sababu ya kutokula nguruwe ni Lazima ukubali kuwa Yesu alipomkemea Petro kwa kusema '...Nenda nyuma yangu shetani' Petro alikuwa shetani tangu wakati huo.
Theolojia uchwara huusishwa nguruwe na tukio hili
To understand the Bible unatakiwa kuelewa au kustudy plot nzima ikiwa ni pamoja na mazingira ya verses husika.