..Majina yetu na a.k.a. zetu..

I love my name..

I hate my name!! Huwa najisikia aibu kumjibu mtu akiniuliza jina langu au nikitambulishwa., na huwa lazima niulizwe kwa nini niliitwa hivyo?! Hadi kaka zangu huwalipendi mpaka wakanipa jina la msanii mmoja wa zamani na limekuwa kama jina langu.Ila mwisho wa siku tumepewa majina kwa ajili ya kuitika ukiitwa?!
 
Cyo mie nalipenda sana jina langu ninaitwa ATUBARIKI YESSAYA NGUMBA na wala cpnd hz a.k.a zenu
 
I hate my name!! Huwa najisikia aibu kumjibu mtu akiniuliza jina langu au nikitambulishwa., na huwa lazima niulizwe kwa nini niliitwa hivyo?! Hadi kaka zangu huwalipendi mpaka wakanipa jina la msanii mmoja wa zamani na limekuwa kama jina langu.Ila mwisho wa siku tumepewa majina kwa ajili ya kuitika ukiitwa?!

Now am curious kujua unaitwa nani..lol.
Majina huwa yana stand as our identity. Kuna umuhimu wa kuwa na jina ambalo upo comfortable nalo!
 
I hate my name!! Huwa najisikia aibu kumjibu mtu akiniuliza jina langu au nikitambulishwa., na huwa lazima niulizwe kwa nini niliitwa hivyo?! Hadi kaka zangu huwalipendi mpaka wakanipa jina la msanii mmoja wa zamani na limekuwa kama jina langu.Ila mwisho wa siku tumepewa majina kwa ajili ya kuitika ukiitwa?!

Mnaokataa majina yenu kumbe mpo wengi eeh!
 
Jina utabadilisha je muonekano?better uwe na jina la ajabu ila mzuri kuliko jina zuri halafu kijuso!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom