..Majina yetu na a.k.a. zetu..

Feb 20, 2012
93
11
Kila anapozaliwa binadam ataitwa jina kama utambulisho wake. Hata Mwenyezi Mungu alipomaliza kazi ya kumuumba mwanaume alimpa jina la Adam na mwanamke akamwita Eva! Majuzi kuna muumini wangu alikuja ofisini akaniuliza: "Hivi father siwezi kubatizwa mara ya pili nikajiita jina ninalopenda?"..
Nikashtuka na kuhamaki kidogo!
...
...
Nilichogundua kuna watu wanachukia majina waliyopewa na wazazi wao, ndio maana wengi wanapromot zaidi majina yao waliyojibatiza ukubwani (a.k.a) na humu JF najua mpo wengi..
 
Rev.
Naomba nikunukuu "majuzi kuna muumini wangu alikuja ofisini"
Rev. Huyu muumini wako wa dini gani ?
Ameanza kukuabudu kwa muda upi ?
Una idadi ya waumini wako wa ngapi ?
 
Rev.
Naomba nikunukuu "majuzi kuna muumini wangu alikuja ofisini"
Rev. Huyu muumini wako wa dini gani ?
Ameanza kukuabudu kwa muda upi ?
Una idadi ya waumini wako wa ngapi ?

Kwani Reverends wanakua na waamini wa dini gani?
...
Unafikiri ni rahisi muumini ameabudu kwa mda gani? Labda nianzishe kanisa kwa jina langu nianze kusajili waamini.
...
Waumini wanaongezeka kila kukicha, I mean wapo wengi.
 
i guess i'm nt welcomed 2 th church. Acha nitafte makuti na maturubali nifungue la kwangu :)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom