Majina ya zenji baraa

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Aiseeeeee
IMG_3869.JPG


Yapo majina ya kufikirisha hapa zanzibar, Ukiacha Uzini yenyewe kuna Mgenihaji,na Tunduni.Huu ni msikiti wa Tunduni katika jimbo la Uzini
Mdau wa Mjengwablog, Zanzibar
 
Kila jina mahali huwa na asili yake> Jaribu kufanya uchunguzi utapa asili ya hilo jina na kwa nini wamepaita hivyo hapo
 
Uzini, mnashangaa hamuujuwi uzi? au hamshoni kwenu? basi kama hamshini hajui kuwa hata hizo nguo zenu zimeshonwa kwa uzi?

Na Kiboroloni, mtasema nini?
 
Wengi wanaoona ajabu majina ya Unguja, Kiswahili kwao ni lugha ya pili na si lugha mama.
 
Wengi wanaoona ajabu majina ya Unguja, Kiswahili kwao ni lugha ya pili na si lugha mama.

Cha kusikitisha zaidi hua wanajisahau kama wao ama familia zao wametoka vijijini ambako kule hali ni mbaya zaidi! Wakishajua kuperuzi na 'Internet' hua wanajifanya wao ndio wao tu, wanaandika kila wanachojisikia kuandika! Kuna majina ya familia zao, na ya mitaa ya vijijini kwao kama tunaamua kuyaweka hapa wote watakimbia.
 
Back
Top Bottom