majina ya wasichana

halafu nyie shosti na husninyo nyie... endeleeni tu, nie najua kabisa huwa mnaitwa buffet lakini sisemi, ati watu wanapanga foleni kupakua

sawa tu
 
Hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana?

Mfano:

1. DEMU
2. MLUPO
3. SHORI
4. KISHTOBE
5. MANZI
6. SISTA DUU
7. SKETI

Kama unayajua mengine unaweza ongezea

Changudoa
GF
Bata
Mkaza mme
Mkatikiwa
Nyama ya hamu
Manzi
Kiruka njia
 
afadhali umerudi ila nimejitahidi kukomaa hivyo hivyo.
Hebu soma hizo pumba za acid.
halafu wewe... tena uko lile kundi la pili na zawadi nakuongezea kabisaa... unajua nilitaka nikuite pimbi, lakini nikaona sio fresh bora niheshimu tu lile jina lako la utotoni la chanjila
 
halafu wewe... tena uko lile kundi la pili na zawadi nakuongezea kabisaa... unajua nilitaka nikuite pimbi, lakini nikaona sio fresh bora niheshimu tu lile jina lako la utotoni la chanjila

pimbi lishatajwa. Halafu sitaki utani we semionosenyange.
 
Back
Top Bottom