Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
ATM,Zoba,Mwanaume jina,Kisirani,Simba mla majani.,em ngoja niulize tena.
fara
zuzu
mjingamjinga
.....................itaendelea
ATM,Zoba,Mwanaume jina,Kisirani,Simba mla majani.,em ngoja niulize tena.
ATM,Zoba,Mwanaume jina,Kisirani,Simba mla majani.,em ngoja niulize tena.
uliza lingine fasta fasta.
Mengine ni
visogo
wakumbwela
mazimwi.
Halafu wewe Husninyo una kesi kumbe hayo majina ndio huwa unaniita ukifika nyumbani leo utanieleza vizuriuliza lingine fasta fasta.
Mengine ni
visogo
wakumbwela
mazimwi.
Ya wanaume.
Kenge
mamba
jibwa
poyoyo
mbwiga
buzi
kidumu
..... Nitaendelea b'dae.
Halafu wewe Preta una kesi kumbe hayo majina ndio huwa unaniita ukifika nyumbani leo utanieleza vizuri
he he he.....wao wameishiwa.....wameamua kuingia mitini.......
Halafu wewe Husninyo una kesi kumbe hayo majina ndio huwa unaniita ukifika nyumbani leo utanieleza vizuri
Naona wadada wamepata muhemko imebidi na wao waingie ulingoniAmesema ya akina dada!
Hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana?
Mfano:
1. DEMU
2. MLUPO
3. SHORI
4. KISHTOBE
5. MANZI
6. SISTA DUU
7. SKETI
Kama unayajua mengine unaweza ongezea
ha ha ha! Bora tumewakimbiza mapema maana walikuwa washaanza kuharibu hali ya hewa.
Amebaki the finest.
Amesema ya akina dada!
Naona wadada wamepata muhemko imebidi na wao waingie ulingoni
digidigi
panya
ngisi
kiroboto.
Buzi (bulls).
Samaki.
Atm.
dege la jeshi
kuku
samaki
bata
Wow,kazi ipo!
am proud of my gals Tatiana,Husninyo and Shosti.Big up Yourselves. Aluta Continua!