Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
  • A%20S%2041.gif

mpaka wakati huu kuna yeyote kati yenu amefanikiwa kuona result yake ya mkopo??
 
Niko near na mkongo wa taifa lakini bado iko slooooooow.. Bora niachane nao
:plane:
 
jaman mm imefunguka bt majibu yalioniletea hata sijui au ndo nimekosa jaman et inasema THIS FORM 4INDEX NUMBER Z NOT SECURE FOR LOAN APPLICATION 2O13-2014 Daah au mbna sielew yaan
 
jaman mm imefunguka bt majibu yalioniletea hata sijui au ndo nimekosa jaman et inasema THIS FORM 4INDEX NUMBER Z NOT SECURE FOR LOAN APPLICATION 2O13-2014 Daah au mbna sielew yaan

Yan imenijibu ivyo ivyo....hapa nilipo sijielewe msaada kwa mwenye kuelewa jamani
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom