Majina ya waliochaguliwa kuingia kidato cha tano

Thanks mkuu, naona taratibu wizara inaongeza user friendliness ya site, siku hizi iko searchable angalau.
 
Shukrani Invisible.

Yeah naona kwa kweli hapa wizara imejitahidi sana! search engine iko user friendly. CONGRATULATIONS kwa wahusika (you see, wakifanya vizuri tunawapa credit ;-) siyo kwamba tunalaumu tuu.

Anyway, nimecheki matokeo naona jamaa zangu village hawajatoka..duh! Dogo mmoja katoka lakini kapangiwa shule iliyo kama KM 5 kutoka pale alipokuwa...(yaani village zaidi)..sasa sijui kijana atakuja lini mjini...maana wengi tulikuja Dar, Arusha nk... kwa ticket ya shule..anyway..sasa inabidi aisikilizie Chuo Kikuu..ila sasa so, ni pale atakapopangiwa chuo cha ualimu next wilaya...sijui itakuwaje..au apelekwe universiti ya Shinyanga-lol! Dar mpaka uzeeni akija kudai mafao kama yatakuwepo...

All in all, ngoja nianze kujiandaa kutuma karo vijana watafute plan B!
 
Mkuu Invisible shukrani, kweli tumetoka mbali, enzi zetu ukisikia majina ya waliochaguliwa yametangazwa, ilikuwa mbinde mpaka kuyaona. Siku hizi kuanzia majibu mpaka shule walizopangiwa ukiwa na mtandao bwerere.
 
Mkuu unafikiri ni wangapi wenye huo uwezo wa kuangalia mtandao? Hayo ni ya hapa hapa mjini.

MI NIMEPIGA SIMU VILLAGE NAULIZA KAMA WAMEPATA MATOKEO NAAMBIWA KWAMBA WANASUBIRI "REPORT" YA HEADMASTER AMEWAAMBIA WARUDI JUMATANO! MKUU..ACHA KABISA..HUKO NDIKO TANZANIA ILIPO...

Nakumbuka ilikuwa rahisi kupata matokeo yangu..kwa sababu nilikuwa rafiki yake na mtoto wa mratibu wa kata..duh..Hakika tumetoka mbali..

All in all, wa Oysterbay na wakina sisi tunaotoka Kasulu na Kazuramimba....tunapishana mjini hapa...Hakika Mungu yupo jamani!
 
Shukrani Invisible.

Yeah naona kwa kweli hapa wizara imejitahidi sana! search engine iko user friendly. CONGRATULATIONS kwa wahusika (you see, wakifanya vizuri tunawapa credit ;-) siyo kwamba tunalaumu tuu.

Anyway, nimecheki matokeo naona jamaa zangu village hawajatoka..duh! Dogo mmoja katoka lakini kapangiwa shule iliyo kama KM 5 kutoka pale alipokuwa...(yaani village zaidi)..sasa sijui kijana atakuja lini mjini...maana wengi tulikuja Dar, Arusha nk... kwa ticket ya shule..anyway..sasa inabidi aisikilizie Chuo Kikuu..ila sasa so, ni pale atakapopangiwa chuo cha ualimu next wilaya...sijui itakuwaje..au apelekwe universiti ya Shinyanga-lol! Dar mpaka uzeeni akija kudai mafao kama yatakuwepo...

All in all, ngoja nianze kujiandaa kutuma karo vijana watafute plan B!
Huyo dogo wa bush mlete town wakati wa likizo asome tuition....kuja mjini kuosha macho muhimu....
 
Nisaidieni jamani.
Ninashindwa kupata ninachotafuta. Mfano ninaandika jina la mwanafunzi, nifanye nini kishapo?
Ktk tab. ile ya pili nikichagua "jina la mwanafunzi" inaleta jibu hili:
Microsoft OLE DB Provider for ODBC Drivers error '80040e14'

[Microsoft][ODBC Microsoft Access Driver] Syntax error (missing operator) in query expression 'JINA LA MWANAFUNZI like '%Nelson Mtove%''.

/selection2006/selection/search1.asp, line 223

Naomba msaada.
 
Kubandika majina ya wanafunzi ukutani, tovutini, mtini, ubaoni, ni violation of student privacy.

Badala ya Toyota Land Cruiser VX, ikinunuliwa Toyota Camry XLE moja kwa matumizi ya wizara iliyoko mjini, hela zitakazo okolewa zitanunua stempu ya kumtumia kila mwanafunzi wa Tanzania notice ya matokeo yake. Watahiniwa wote wa Tanzania kuanzia kidato cha nne mpaka vyuo vikuu.
 
uko dunia ipi?
na utandawazi huu au unaleta ligi tu mkuu?
 
Kubandika majina ya wanafunzi ukutani, tovutini, mtini, ubaoni, ni violation of student privacy.

Badala ya Toyota Land Cruiser VX, ikinunuliwa Toyota Camry XLE moja kwa matumizi ya wizara iliyoko mjini, hela zitakazo okolewa zitanunua stempu ya kumtumia kila mwanafunzi wa Tanzania notice ya matokeo yake. Watahiniwa wote wa Tanzania kuanzia kidato cha nne mpaka vyuo vikuu.

Mwisho utasema kwenda shule ni violation ya privacy.
 
Mzee Kuhani hizi ni enzi zingine. Hakuna privacy tena katika enzi hizi... Ndio ulimwengu wa leo si ule wetu mkulu wangu:)

Ulimwengu wetu ule ndio majina yanabandikwa ukutani. Ulimwengu wa leo unatambua kwamba Jimmy K has no business kufuatilia matokeo ya Kuhani. Hivyo, kinachotakiwa kufanywa, ni mtahiniwa ku log into the site ya baraza la mitihani kutumia Candidate ID. No. na credentials zingine za siri, kuona matokeo. Matokeo yako wewe!
 
Kwa wale wanaotaka kufuatilia tafadhali fuata link hii:

Ministry of Education and Vocational Training:::::

Mkuu invisible nawapa hongera sana hawa jamaa wa Wizara but nawapa challenge kidogo, wazingatie Relation integrity ya Database yao as nimesearch jina la Mwanafunzi kwa Shule alikotoka (Nsumba) nikapata somebody Tumaini, then nikamchukua huyu tumaini nikamuweka kwenye search engine nikasearch kwa jina la mwanafunzi expecting kupata info zake but sikupata
 
Wakuu kuna dogo wa kijijini kwetu alifaulu kwa div one kapata (AAB) kwenye PCM na (AAC) kwenye PCB. Lakini hakupangiwa shule sasa kijijini kwetu mimi ndio msomi halafu nakaa town, mwenyekiti kanipigia simu amesema tumaini lao la mwisho ni mimi ni mhangaikie mdogo wangu. Mimi sina hata pakuanzia tafadhari wakuu kama kuna mtu anaweza kunisaidia kutatua hili anijulishe maana dogo asiposoma kijiji chote watanichukia. Nisaidieni jamani 2010 inakaribia na hizi ndio chance za kusafisha jina pls
 
Last edited by a moderator:
Ulimwengu wetu ule ndio majina yanabandikwa ukutani. Ulimwengu wa leo unatambua kwamba Jimmy K has no business kufuatilia matokeo ya Kuhani. Hivyo, kinachotakiwa kufanywa, ni mtahiniwa ku log into the site ya baraza la mitihani kutumia Candidate ID. No. na credentials zingine za siri, kuona matokeo. Matokeo yako wewe!

Utility ya privacy ina "point of diminishing returns" angalia katika zero tolerance yako usiipite hii point.

Otherwise utasema mkono wako wa kulia usijue mfuko wako wa serawili wa kushoto una nini, kwa sababu ni utovu wa usiri.
 
Back
Top Bottom