Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,040
- Thread starter
- #21
Lukuledi bado wanauza mabumunda??
Mkuu Mabumunda yalikuwa mambo ya weupe (wazungu) walipokuwa wakiendesha misinari nyingi wakati ule. Mambo mengi yamebadilika. Hakuna wheat, maziwa ya unga, ile mitumba mikali kama enzi zile. Sasa misionari nyingi zinaendeshwa na wazawa.