Majina ya Miji ni majina halali

Yudasti

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
928
1,279
Jamani wataalamu wa miji yetu ya Tanzania, nimetembelea Kagera aisee nimeshangazwa sana na majina ya asili huko mfano:

1. Bukuma yaani asili ya watu wa hapo ni wakuma
2. Mto Ngono

Hivi hapa wataalamu ni majina halali au vipi maana wenyeji huko ni kitu cha kawaida sana.
Mbona sisikii hata kwenye media majina haya au asili ya watu hawa wakitajwa?? Msaada wa hapa tafadhali
 
Back
Top Bottom