Majina ya magereza yana maana yoyote?

Gereza la Rwamlumba-Bukoba
Gereza la Kitengule-Karagwe
Bilashaka ni majina ya Asili ktk sehemu husika.
 
Hv ww unajielewa kweli? Uliza mtoto hata wa darasa la saba analijua gereza la moro lililoko Sumbawanga au uajiongezea idadi ya post tu? St........d

hahahahhaaa,,,,,mdau nilihisi hilo gereza linaitwa SUMBAWANGA NA LIPO MOROGoro
 
Magereza mengi nijuavyo mimi yalijengwa enzi za ukoloni hivyo yalipewa majina ya maeneo husika kama, Gereza Ukonga - Ukonga, Gereza Songwe - Songwe, Gereza Mugumu - Mugumu Mara n.k

Hahaha umenikumbusha mbali Kweli Songwe gereza wanagonga kaz si mchezo.
 
Pia ningependa kujua,,,,,je uhamishaji wa wafungwa unasaidia nini????na ikiwa mfungwa alifungwa maweni-tanga,then akahamishiwa keko dar,akimaliza kifungo nani atakayempa nauli ya yeye kurud kwao TANGA?????
 
Kwa kukua kwangu kooote hv kuna gereza jipya lililojengwa ndani ya miaka 25 iliyopita?naona suluhisho la msongamano limekuwa ni kupunguza tu.
Mi najua gereza la wilaya ya lushoto Tanga nahisi ni la wenyeji wa huko
 
Back
Top Bottom