kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,574
Kutokana na mabadiliko ya maisha pamoja na utandawazi Mila na desturi hasa majina ya asili ya kitanzania yanazidi kupotea! nimeona ni vizur kuanzisha Uzi huu ili tuweke kumbukumbu vizuri za Maana ya majina yetu kwa ajili ya kizazi kijacho. Naanza na majina ya Kichagga halafu members wataongezea kutokana na asili yao.
1. Elisonguo-Mungu tangulia
2.Eliambuya- Mungu angalia
3.Ruaichi/Rwaichi- Mungu unajua
4.Ndenengo/Ndeinengo- Nilipewa
5.Pendaeli- Mungu ni Pendo
6. Oforo- Baraka.
7.Ndewihirio moo- Nilirudishiwa uhai( watoto waliopata tabu wakati wa kuzaliwa)
8.Ndetaramo- Nilisaidiwa
9. kisie( Masika)
10.Haika/Aika- Asante
11. Manka- mtoto wa pili( wa kike)
Wadau tuendee kuongeza majina ya asili ya makabila yetu na maana zake kwa ajili ya kizazi kijacho.
NB: hayo ndo majina yenye asili ya kichagga. majina kama Masawe, Mushi, Tillya, Laswai , Lyimo na Mtei ni majina ya ukoo Mara nyingi hayana maana!