Majina na uzungu. . . .

umenikumbusha kwetu aisee:
Elizabeth=ma Zabeti
praxeda=ma pulaki
magreth= ma mangureti
joseph=ta yozefu
patrick=ta patirisi
andrew=ta nderea
christopher=ta kitofa
robert=ta roberito

Mariagoreth = Ma Marigarita
David = Ta Daudi (Dawd)
Jacob= Ta Yakobo (Yakuub)
John= Ta Yohana
Michael = Ta Mikael
Rose = Ma Rozalia
Matthew= Ta Mathayo
Cresent= Ta Krizantu.
 
Kahalfan = Alfa
Mbonde = Blondee

Lizyy..........What were you thinking?
Hahahah kwanini unauliza Dr?
Nilitaka tu tufurahisha na kupeana maujanja ya namna ya ku 'ULAYAnize' majina yetu.
 
Sandara = Sandra

Anyone = Any one

Hii thread inafanana na ile ya S Saint Majina ya viongozi yakitamkwa kizungu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom