mayenga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 4,118
- 1,966
Nimekuwa nikijiuliza uhalisia wa jina la mtu na matendo yake,lakini nikakumbuka msemo wa kikwetu usemao"Eibala libi lita nyinalyo" kwa tafsiri isiyo rasmi ikiwa na maana kwamba jina baya huashiria mabaya kwa mwenye nalo mfano majina kama Tabu,Domo Kaya nk,ni rahisi kukuta watu hao wakiendana na matukio yenye kufanana na majina hayo.Kwa upande mwingine kuna majina mengine ya kigeni kama Diana , Lucy,Anna,Penina nk,kwa uchunguzi wangu majina haya ni ya kushangaza.Mfano watu ninaowajua wenye kuitwa jina la Lucy,na Anitha weng hawajatulia,vijana wa mjini wanasema ni milupo,watu wengi wenye majina ya Penina ni watulivu na wapole.
Nipeni uzoefu wenu kwenye hili.
Nipeni uzoefu wenu kwenye hili.