Majina feki ya wasichana wa Dar

Omba majina Amina kawa Amayna,Naima,Clara na Rayyah! Kuna Tayana,Aneth hata bongo kuna Aaliya? Candy Nicole Uenice au labda Marayah.Sikitu hataki jina na Asia anaitwa Eshia

Vijana wa bongo fleva walishaliona hili mapema...
 
Kumbe kipindi cha kiangazi ndio kuzuri!!!
Mkuu Dar ni nzuri sana kipindi ambacho hakuna purukushani za mvua.
Imagine mafuriko yoote hayo na watu mpaka wanakufa, mitaa inajaa maji mpaka kwenye mapaa ya majumba, foleni hazitembei mpaka masaa manne na purukushani nyingine nyiingi zinaletwa na mvua.
Btw, kama lengo lako ni kuja kuona mafuriko, karibu!
 
Nifahamishen kwa hili.!!!
Jamani ktk pita yangu niliingia ktk pub moja iv ipo tabata nisgazwa na dingi mmoja ivi alipo kuwa akitaka bia orijino ,xaxa nilishindwa kuelewa bia orijino imaana gani???
 
Nifahamishen kwa hili.!!!
Jamani ktk pita yangu niliingia ktk pub moja iv ipo tabata nisgazwa na dingi mmoja ivi alipo kuwa akitaka bia orijino ,xaxa nilishindwa kuelewa bia orijino imaana gani???
mkuu unapita pita hadi bar?
beer original made in Tz..
 
Nifahamishen kwa hili.!!!
Jamani ktk pita yangu niliingia ktk pub moja iv ipo tabata nisgazwa na dingi mmoja ivi alipo kuwa akitaka bia orijino ,xaxa nilishindwa kuelewa bia orijino imaana gani???
Sasa kwanini hukumuuliza swali hili kwa staili ya papo kwa papo?
 
Nilijua tu kwamba nitaanzisha ugonvi kata yake na mimi ndomaana nikaja kwenu wadau najua siwez kosa jibu na bado najiuliza kwanini bia zinatofautiana bei????
 
lakini ukimuona mtoto mkali balaa..akikuambia anaitwa munilla unakubali alafu kitu kinacho click ur mind ni kuwa huyu mtoto anatokea ushuani..kumbe wengine ni wa uswahilini sema ujanja mwingi.
 
Back
Top Bottom