Majimaji

prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
168
kutokwa na majimaji ukeni na harufu mbaya hata kama unajisafisha kila mara inakuaje yale majimaji yanayo toka yanakua yananuka
 
kutokwa na majimaji ukeni na harufu mbaya hata kama unajisafisha kila mara inakuaje yale majimaji yanayo toka yanakua yananuka

Fangasi haziondolewi kwa kusfisha...nenda hospitali.
 
Kutokwa majimaji ukeni ni jambo la kawaida na nature yake huwa ni colourless km ute wa yai na kawaida hautoi harufu mbaya. Majimaji hayo huongozwa na hormones, huongezeka prior to ovulation and after ovulation hupungua.

Inawezekana ukawa na infections either bacteria au fungus. Kuna maswali ya kujiuliza hapa, kwanza nature ya majimaji hayo, yana rangi gani?

Je unawashwa sehemu za siri?

Harufu ikoje? Kuna aina moja ya bacteria wao husababisha uke kutoa harufu km shombo ya samaki.
Mara nyingi infection ya uke huendana na infection ya urinary truck. Je una homa, mkojo una rangi gani kawaida au nao umebadilika rangi? Ukiwa unakojoa unajisikiaje, kuna maumivu yoyote?
Baada ya kujiuliza hayo maswali nakushauri uende ukamwone daktari.

Dnt wait untill its too late!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom