Namshukuru Mungu nimeshaoita hiyo stage ni stage ngumu sana
Anamaanisha alishagafanya kama nyie mnavyofanya kipindi hiki.Sijakuelewa
Tangazo la TRA ,halijakaa poa kabisa Kuna weza kukawa na oral au laa,hawajafafanua na hata baada ya written hawakusema hatua inayofuata km wanavyosema utumishiHabari wana JF
Naomba kujua kuhusu hizi Interview zinazoendelea na ambazo zimekwisha fanyika za Written kuna mwenye taarifa majibu yanatoka lini kuhusu hatua nyingine ya Usahili wa Mahojiano (Oral Interview)au hakuna?
Nawasilisha.
Nachojua Written then oral au written, practical theb oral kwa baadhi ya kada ni taratibu za kikanuni za mambo ya ajira serikalini, na SIO mapenzi binafsi ya taasisi husikaKitu sijaelewa hapa Ratiba inasema 24/9 na kuendelea haijascpecify mfano Written itafanyika siku hii na Oral itafanyika siku hii lakini pia hapo hapo Tangazo linaonekana(sina uhakika)kama kuna Written tu na baada ta hapo waliofaulu watapangiwa vituo vya kaziView attachment 2763923
Kwa hatua mbali mbaliKitu sijaelewa hapa Ratiba inasema 24/9 na kuendelea haijascpecify mfano Written itafanyika siku hii na Oral itafanyika siku hii lakini pia hapo hapo Tangazo linaonekana(sina uhakika)kama kuna Written tu na baada ta hapo waliofaulu watapangiwa vituo vya kaziView attachment 2763923
Leo majibu yenu yatatokaHabari wana JF
Naomba kujua kuhusu hizi Interview zinazoendelea na ambazo zimekwisha fanyika za Written kuna mwenye taarifa majibu yanatoka lini kuhusu hatua nyingine ya Usahili wa Mahojiano (Oral Interview) au hakuna?
Nawasilisha.
Ushauri mzuri, inaonekana jamaa alipiga pepa vizuri sana lakini ajue lolote linaweza kutokea.Haya mambo ya utafutaji jitahidi sana usiwe matarajio makubwa hata kama ulifanya vizuri kwenye interview maana baadae unaweza kujikuta una maumivu makubwa na ukaanza kulaumu taasisi kikubwa ulifanya interview Fanya vizuri kw uwezo wako then jikite kwenye mambo mengine kama vile kutafuta matangazo mengine ya kazi kama umepangiwa kupata utapata tu
Ndugu rudi nyumbani Yawezekana ikachukua hata mweziTangazo la TRA ,halijakaa poa kabisa Kuna weza kukawa na oral au laa,hawajafafanua na hata baada ya written hawakusema hatua inayofuata km wanavyosema utumishi
Labda majibu ya vimemo
kaka ulihamua kuwatia watu moyo tu😂
Ile paper ya tra ilikuwa kukamilisha ratiba tu maana paper kama kukomoana watu wa customs wametolewa maswali ya taxkaka ulihamua kuwatia watu moyo tu