Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,009
- 785
Kwakweli mie sioni tatizo la Kagame! Alichokisema ndo ukweli wenyewe. Kasema tu watu wame panic! Akilianzisha itakuwaje?Ashughulike na TZ sio Rwanda, wenzake wanatafuta maisha bora kwa raia wao, yeye anatafuta sifa dunia nzima, ataweza?? remarks za nyerere ziko palepale jamaa bado mdogo sana, kwaherini.