Majibu ya IKULU dhidi ya Tanzania Daima kuhusu ndege ya Rais na safari ya Davos

Nyinyi endeleeni kubishana tu, ila nilichopic mimi kwenye habari hii ni kwamba kila Vasco Da Gama ukiona ameruka ughaibuni basi ujuwe hapo ni zaidi ya shilling millioni 300 zinaliwa!! very bad.
kumbe sasa ndio nimeelewa kwa nini Marais wengine wa Africa mashariki wamejiepusha na safari kama hizi zisizokuwa na tija.
 
Ulitaka yawe mazito kiyasi gani?

ikulu kama kichwa cha taifa yafaa kua mfano, isikurupuke tuu na kuja na blah blah zisizo na msingi. Ni vyema ikulu ikatoa maelezo kwa kina zaidi. Cheki hata mfano kwa white house ya obama, very organized, wanajua watakachosema, na umuhimu wake, siyo ikulu ya tz inavyokurupuka.
 
Wala haishangazi gazeti la Tanzania daima ni la chadema na hapa Jf wanachadema unategemea majibu ya Ikulu yatapongezwa?

Sidhani kama ni sahihi na nidhamu kusema kuwa Jf ni chadema mkuu. Mimi sio cdm sijui utaniitaje? Wakati mwingine jisumbue kufanya conlusions zenye maana. Acha kuabudu na kuheshimu ujinga wako mkuu.
 
Majibizo ya nini ? Wengine we missed mnayo yaongelea better ukianza mada unaweza kila kitu .Wengine tuko Davos na Mzee anapokea pesa za msaada wa Malaria toka kwa jamaa na mkewe .
 
ana hakika watanzania watapata ajira, soko la uhakika na je mazao yatatoka wapi wakati wanachukua ardhi yenye rutuba,je safari zake zimegharimu shilingi ngapi? mbona hawajajibu
 
120112015604-davos-delegate-guide-story-top.jpg
v


(ACCORDING TO CNN) -- The great Davos talking shop is now up and running, with delegates of all levels of importance, shapes and nationalities zeroing in on this quaint, alpine town to put the world to rights.For many ordinary people the annual meeting of the World Economic Forum (WEF) is yet another "important" summit in the calendar where the elite of business and politics will schmooze for a few days in a rarefied environment they have little or no experience of.Whether or not you believe events such as Davos justify their lofty ambitions, they are certainly a unique experience. So how do you become a Davos delegate?

Official invite

The World Economic Forum is strictly by invitation only, with 2,600 participants representing over 100 countries. The roll call includes CEOs and representatives from the world's biggest corporations; politicians and heads of state from the G20 and other key countries; technology innovators; social entrepreneurs; philanthropists and media companies.



However these special invitations -- or white badges -- are not free for everyone. Unless you're an anchor for one of the many broadcasters covering the event; an academic; a faith leader; a Young Global Leader (young people with great potential selected by the WEF from all fields of business); a social entrepreneur; or from an NGO, the average cost to a business to send each delegate is a whopping $20,000.


Huge travel budget

Getting to this small ski resort, nestled in a picturesque valley high up in the Swiss Alps 150 km south-west of Zurich, is not for the budget traveler. For a delegate arriving from New York this week flying business class, the price comes in at between $3,700 and $6,000. A visitor from Tokyo can expect to pay between $7,200 and $8,000, while a delegate flying in from Johannesburg, South Africa will pay around $4,450.
And once in Zurich there's the small matter of the transfer to Davos. A regular shuttle bus and train service is available, but a two-hour trip by public transport may not suit the business client. The alternative would be a limousine which would cost 650 Swiss Francs ($689) for a one-way trip. However corporate CEOs may choose to come by helicopter, which costs around $9,500 for a return flight.

Place to stay

Finding accommodation in Davos during the week of the World Economic Forum is not easy, with a limited number of large hotels. Predictably tariffs reflect the resulting demand/supply imbalance, with a room in a modest three-star hotel coming in at around 500 Swiss Francs ($530) per night.
Those with a considerably bigger budget often choose to rent out whole apartments or chalets. A chalet sleeping up to ten people for the week can command as much as 60,000 Swiss Francs ($63,600) - though catering might just be included.

The right outfit

It's cold in Davos, very cold. At 5,052 ft (1,540m) above see level, temperatures average -6 degrees Celsius (21.1 degrees Fahrenheit) in January.
Thermal underwear, winter jackets and snow boots are a must, particularly when the temperature plummets in the evenings as you make your way to the various cocktail parties, meals and social events hosted by partner companies. It is not uncommon to see $2,000 bespoke suits finished off with bulky snow boots around the Congress Center.

source CNN

 
SAGGOT ni ufisadi mwingine wa ajabu, serikali ilianza na kilimo kwanza, ukiangalia saggot ni utekelezaji wa Kilimo kwanza uliowajaza maswahiba wa ulaji na watu walioshindwa kabisa kazi, mradi huu umebarikiwa na ofisi yenye utendaji mbovu kuliko wizara zote, ofisi ya waziri mkuu kama matayarisho ya retirement ya viongozi wa juu wakina Peniel Lyimo. Hivi inakuingia akilini kuwa mradi unaotajwa kulenga kuokoa watanzania katika kilimo unaweza kuwa na katibu mtendaji kama Daniel Mrutu? hivi track record yake ni ipi? nini amefanya kwenye Tanzania National Business Council iliyokufa kimyakimya baada ya kushindwa kufanya lolote zaidi ya porojo za mikutano ya zanzibar na wakina clair short? hivi hizi kazi zinatangazwaga wapi ambako watanzania wachapa kazi hawaonekani bali vilaza hawa hawa wa kila siku, jamani tumechoshwa na ushenzi huu, kaeni tu mkao wa kusubiri kuporwa ardhi, ila kwa sasa watanzania tangazeni u mwamwindi basi achaneni na mengine yote muokoe watoto wenu
 
Hata Kagoda na miradi mingine ilitangazwa hivyo kwa kuonyesha msaada kwa watz but what happened!
 
Reuters has produced a slightly overwhelming Davos by numbers graphic. It contains such gems as follows: it costs $689 to take a limousine from Zurich to Davos, as many delegates will, unless they take a helicopter, at $9000 for a return trip; global public debt in 2012 is $47tn, compared to $18tn in 2000; 4712 Swiss troops have been deployed to protect the summit; and Swiss socialists have built 15 protest igloos. What is the use of this forum?
 
Yani kun awatu kila siku wanafanya poling JF kujua kama kuna habari yeyote ya kuikosoa CCM na serikali yake ili watetee kwa Gharama yeyote ile, ila kujaribu kuzuia upepo wa Mabadiliko unaovuma kwa kasi ni kama kujaribu kusimamisha/ kuizuia kwa mbele Train iliyokatika Break.
Huu ni Ujumbe kwa wote wenye akili finyu kama FaizaBitch(Bitch=Foxy)
 
kumbe kilichokosewa na gazeti la Tanzania Daima Ni Spelling tu ya Maneno ila content iko sahihi nimeipenda hii hoja hujibiwa kwa hoja big fall kwa Salva Rweyemamu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Hawana jipya hapa ni full kujikosha kwa nn sasa hamkutoa mapema hadi tanzania daima iwakumbushe?
 
Rais Kikwete na ujumbe wake umesafiri kwa ndegeya Shirika la Ndege la Qatar na siyo [/FONT][/COLOR]Qatal kama linavyoripoti Tanzania Daima.

Pili,Serikali haijakwama, kwa sababu zozote zile, kulipia matengenezo ya kawaida (routinemaintenance) ya Ndege ya Rais. Isipokuwa nivyema kuongeza kuwa matengenezo ya ndege hiyo yalimalizika juzi tu, Jumatatu,Januari 23, mwaka huu, wakati ndege hiyo ilipofanyiwa safari ya majaribio (testflight) kule Savannah, Georgia, Marekani na wala siyo miezi miwili iliyopitakama linavyodai Tanzania Daima. Hivyo, madai kuwa ndege hiyo imezuiliwa nje kwamiezi miwili sasa kwa sababu ya Serikali kushindwa kulipia gharama zamatengenezo ni porojo tu zisizokuwa na msingi.


Yetu macho, ukweli utaonekana tu. Mtatafuta sababu nyingine ya kueleza baada ya miezi kupita. Ni kheri Serikali iseme kama kuna deni liwekwe hadharani ili wasamaria wema waweze kuPitisha bakuli. Mbona tunachangia mambo mengi tu, hata vikao cya viti virefu tunakaa kila jioni itakuwa kuchangia matengenezo ya ndege ya Serikali yetu??

Daima waswahili wanasema "MFICHA MARADHI MAUTI YATAMUUMBUA"

Semeni ukweli yetu macho tu.

HEKO GAZETI LA TANZANIA DAIMA KWA KULIONA HILI. Tunaomba baada ya muda mfuatilie tena tuone kama imerudi au vp!!!!!

Kumbe huenda kutokana na madeni ya aibu kama haya ndiyo maana Serikali imeamua kuanzisha Kodi za ajabu kwa wananchi ili kupata pesa. Mfano leo mama / baba lishe au muuza vitumbua alipie leseni tshs. 80,000/= ataiweza wapi.

Wananchi wa Kigamboni wameongezewa nauli ya kuvuka.

Hii yote ni katika Serikali kutafuta pesa kulipia madeni ya ajabu kama haya.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
 
Back
Top Bottom