Icadon
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 3,581
- 184
Matatizo unayo wewe na wenzako, mliotaka kutudanganya kuwa mtu unaweza kutibu bila leseni Marekani kwa vile mna miaka 20, yapo mnaweza kutudanganya na vigumu sisi kuthibitisha kama vile ukisema mnaishi NEXT DOOR na Bill GATES au jana Mlimtoa OUT OPRAH au suti anazovaa OBAMA ameazima kwenu na kwenye kampeni ya OBAMA mmechangia dola laki moja siwezi kubisha.
Lakini kusema kuwa DR.Masau alifanya kazi ya Udakatari Marekani sikubali na kuwa alifanya akiwa hana leseni ni kosa hata ukiwa Somalia kusiko na serikali bado ni kosa , sembuse Marekani?
Masau hakuwahi kuishi Marekani kama Daktari alikwenda kwa kozi ndogo ndogo na aliishi kama Mwanafunzi sio kama Daktari. Hivi unajua Daktari wa Moyo analipwa bei gani Marekani? anavyoipenda pesa Masua angerudi Bongo?
Mkulu tumia google hizo habari nyingi tuu, mfano kama hizi
1. Ming Kow Hah
2. Twenty-six physicians with substance-abuse problems known to the board have not been disciplined, despite the fact that six lost their licenses in other states. In one instance, the board gave a license to a doctor knowing that he had "several alcohol-related arrests." Washington Post