Majibu ya Dr. Masau wa THI kwa maswali mbalimbali

Matatizo unayo wewe na wenzako, mliotaka kutudanganya kuwa mtu unaweza kutibu bila leseni Marekani kwa vile mna miaka 20, yapo mnaweza kutudanganya na vigumu sisi kuthibitisha kama vile ukisema mnaishi NEXT DOOR na Bill GATES au jana Mlimtoa OUT OPRAH au suti anazovaa OBAMA ameazima kwenu na kwenye kampeni ya OBAMA mmechangia dola laki moja siwezi kubisha.

Lakini kusema kuwa DR.Masau alifanya kazi ya Udakatari Marekani sikubali na kuwa alifanya akiwa hana leseni ni kosa hata ukiwa Somalia kusiko na serikali bado ni kosa , sembuse Marekani?

Masau hakuwahi kuishi Marekani kama Daktari alikwenda kwa kozi ndogo ndogo na aliishi kama Mwanafunzi sio kama Daktari. Hivi unajua Daktari wa Moyo analipwa bei gani Marekani? anavyoipenda pesa Masua angerudi Bongo?

Mkulu tumia google hizo habari nyingi tuu, mfano kama hizi
1. Ming Kow Hah

2. • Twenty-six physicians with substance-abuse problems known to the board have not been disciplined, despite the fact that six lost their licenses in other states. In one instance, the board gave a license to a doctor knowing that he had "several alcohol-related arrests." Washington Post
 
miafrika tunajizarau ndio sababu hatuwezi kujiheshimu. huyo aliyeandika kama Dr Masau hajasomea kazi yake atashitakiwa.
 
Heshima mbele wakuu,

Kwenye hili Dr Massau bado hajaonyesha kuwa amewahi kupasua moyo in the USA.
anatumia blanket statements kuwahadaa watu... na naona ina work hapa!.

Kuhani is absolutely right kwa kusema kuwa kama hauna practicing licence ya state husika in the US, hauwezi kugusa mgonjwa kwa nia ya kumtibu... hasa ikiwa kwenye
reputable institution.

Hakuna popote Dr Massau ameonyesha ana hata ECFMG certification(some sort of medical education verification for foreign medical graduates), ambayo ni pre-requisite ya kupata licence ya kupractice in the USA.i.e licence ya kugusa mgonjwa U.S

Dr Massau anaongelea "kushiriki" katika upasuaji wa moyo!.... talk to any medical student or doctor and they will tell you "kushiriki" may mean anything kuanzia kuwa purely an observer in the theatre, to being a runner(unatumwatumwa mikasi na swabs), ua kuhold suction ya kunyonya any excess blood, to being an assistant to the surgeon kwa kumshikia/mvutia tissues. so tusipumbazwe na neno "kushiriki" sababu anaweza kabisa akawa alikua purely ni obsever tu. Labda atakapoli qualify zaidi.

Masurgeon huwa wanatumia "operations conducted" kwa kumaanisha zile alizofanya na sio "participated". Aseme cardiac "operations conducted" zake in U.S ni ngapi?

Massau is smart with his words, because he knows what he is talking about. Ingekua vizuri tungemkaribisha hapa jamvini tumuulize more direct questions.

Kuhani, you right so far!... Dr Massau karibu sana utuondolee utata beyond reasonable doubt, because you dealing with vulnerable peoples lives.
 
Mimi binafsi ninao ndugu (wa karibu kabisa) ambao wako pale Afya waliosomea Emory School of Medicine (Atlanta, Georgia)....

Dah!!!!! kelele zote hizo kumbe ni ndugu na si wewe..... kaziiiiiiiiiiiiiiiii kweli kweli

waafrica watabaki kuwa waafrica tuu
 
Heshima mbele wakuu,

Kwenye hili Dr Massau bado hajaonyesha kuwa amewahi kupasua moyo in the USA.
anatumia blanket statements kuwahadaa watu... na naona ina work hapa!.

Kuhani is absolutely right kwa kusema kuwa kama hauna practicing licence ya state husika in the US, hauwezi kugusa mgonjwa kwa nia ya kumtibu... hasa ikiwa kwenye
reputable institution.

Hakuna popote Dr Massau ameonyesha ana hata ECFMG certification(some sort of medical education verification for foreign medical graduates), ambayo ni pre-requisite ya kupata licence ya kupractice in the USA.i.e licence ya kugusa mgonjwa U.S

Dr Massau anaongelea "kushiriki" katika upasuaji wa moyo!.... talk to any medical student or doctor and they will tell you "kushiriki" may mean anything kuanzia kuwa purely an observer in the theatre, to being a runner(unatumwatumwa mikasi na swabs), ua kuhold suction ya kunyonya any excess blood, to being an assistant to the surgeon kwa kumshikia/mvutia tissues. so tusipumbazwe na neno "kushiriki" sababu anaweza kabisa akawa alikua purely ni obsever tu. Labda atakapoli qualify zaidi.

Masurgeon huwa wanatumia "operations conducted" kwa kumaanisha zile alizofanya na sio "participated". Aseme cardiac "operations conducted" zake in U.S ni ngapi?

Massau is smart with his words, because he knows what he is talking about. Ingekua vizuri tungemkaribisha hapa jamvini tumuulize more direct questions.

Kuhani, you right so far!... Dr Massau karibu sana utuondolee utata beyond reasonable doubt, because you dealing with vulnerable peoples lives.

Aibuuuu umeshitukiwa kubali tuuu yaishe!
 
Yesterday, 12:01 PM

Kuhani Kuhani has no status.
JF Senior & Premium Member Join Date: Wed Apr 2008

Re: Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

Quote:- Sijui kama kuna watu wananielewa kwenye hili.

Kuhusu taaluma ya Masau ni mimi ndio nimesema shule yake imesema alisomea kwa kutazama tu. GT yeye ame key on the NSSF debacle.

Quote:- Kuhani

Ni hivi, hakuna kiumbe cha Mwenyezi kinachoweza kugusa mgonjwa - achilia mbali kupasua - kugusa mgonjwa wa mafua Marekani kama huna kibali cha uganga. Period. Simple as that. Period.

Haya ni maneno yako mwenyewe, sasa unakataa nini? Unajaribu kufukuza hewa kwa kutka kubadili topic, huna lolote wewe ni muongo tu period, Dr. Masau ameshiriki kwenye kupasua watu 1800, akiwa Texas amesema mwenyewe, wewe si ulisema unafanya lawsuit kamshitaki basi tuone kama una ukweli, utabadili rangi mpaka uchoke lakini huwezi futa hii aibuuu ya mwaka! Kama ni ufisadi sidhani kama kuna unaozidi huu wa kushikwa uongo mtumzima aibuu tupu hebu tuonedoleee upuuuzi huu kubali yaishe tu!
 
mwanaizaya

Re: Dr. Masau ajibu hoja za Ndg. Kuhani

MAUMAU MKUU

SOMA HAPA

2. Nilikuwa sponsored na University of Texas Health Science Center-Houston kwenda Texas Heart Institute kwenye Cardiovascular Surgery Fellowship Program. Nilikuwa Texas Heart Institute kwenye hiyo program kuanzia January 1997 hadi June 2000 na katika kipindi hicho nilishiriki katika kufanya operation za upasuaji wa moyo zaidi ya 1800 (vielelezo vyote vipo).

Haya ni maneno ya Farasi mwenyewe, unajua kweli dunia inakaribia mwisho, yaani mtu ameshikwa uongo na bado anajaribu kutuhadaa na maneno ya uongo zaidi na kubadilika rangi kama kinyonga na huku tunamuona hivi hivi? Hivi bin-adam wengine haa aibu kidogo hamna?
 
Haya ni maneno yako mwenyewe, sasa unakataa nini? Unajaribu kufukuza hewa kwa kutka kubadili topic, huna lolote wewe ni muongo tu period, Dr. Masau ameshiriki kwenye kupasua watu 1800, akiwa Texas amesema mwenyewe, wewe si ulisema unafanya lawsuit kamshitaki basi tuone kama una ukweli, utabadili rangi mpaka uchoke lakini huwezi futa hii aibuuu ya mwaka! Kama ni ufisadi sidhani kama kuna unaozidi huu wa kushikwa uongo mtumzima aibuu tupu hebu tuonedoleee upuuuzi huu kubali yaishe tu!

usipoteze muda wako kwa mtu analeta uongo hapa kuhusu fani kwa vichwa vya ndungu zake (yani ndg zaku ndo madaktari na sii yeye), yeye mwenyey hajijui
 
Quote:- Kuhani

1) hakuwahi kusomea upasua moyo zaidi ya kutazama 2) Yeye ana ka zahanati ka daktari mmoja na sio hospitali yenye uzoefu 3) Zahanati iko embroiled in court/rent disputes.... 4) hospitali yake inaficha ficha vitu ndio maana haina daktari Mtanzania hata mmoja kwenye management brass yake zaidi ya Wazungu wanaoishi Ulaya, sijui anaficha nini.

Quote:- Dr. Masau

2. Nilikuwa sponsored na University of Texas Health Science Center-Houston kwenda Texas Heart Institute kwenye Cardiovascular Surgery Fellowship Program. Nilikuwa Texas Heart Institute kwenye hiyo program kuanzia January 1997 hadi June 2000 na katika kipindi hicho nilishiriki katika kufanya operation za upasuaji wa moyo zaidi ya 1800 (vielelezo vyote vipo).
 
Tunapaswa kuangalia kote kote.

Hivi, wizara husika ilikuwa wapi kutoweza kuzuia masuala km haya yanayohusu kashfa hii kutokea? Nakumbuka mwanzoni kabisa wkt huyu "daktari" alipofanya upasuaji wake wa kwanza, alitangaza ktk vyombo vya habari kuwa amefanya upasuaji wa moyo kwa mara ya kwanza hapa nchini. Wizara ilikuja juu sana kupinga suala hili wakidai kuwa Muhimbili walishafanya upasuaji wa moyo kabla ya huo, miaka ya nyuma! HII ILIKUWA "BIG ISSUE" KWA WIZARA.

JE, WALISHINDWAJE KUJUA "UTAPELI" WA "DAKTARI" HUYU? AU KWA WKT ULE WALIWEKA MBELE CHUKI ZAO BINAFSI KWA "DAKTARI" HUYU KULIKO MANUFAA YA WATANZANIA NA KILA AMBAYE ANGEKWENDA KWA AJILI YA MATIBABU?

WIZARA NA KILA ALIYEHUSIKA NA USAJILI WA THI NI LAZIMA AWAJIBIKE!!
 
Sasa nataka kuamini kuwa Kuhani ama ni Manji ama ni Dr,Dau mwenyewe, sasa hoja hapa ulisema kuwa huyu mzee wa watu hakusoma, sasa unabanwa kwa uongo wako unakuja na kuanza kujibizana na watu ambao wamepost na kukosea vijimistari.

Unapaswa ama kusimamia hoja zako na kuweka the other side uwanjani ama kuomba radfhi kama ulidanganya.

Muungwana ni vitendo, laa sivyo naamini kuwa wana JF hapa watayachukulia maneno yako yote kama uzushi na upotoshaji wa makusudi.
 
asante kaka...........................
 
Kwani Kuhani na Maumau wamekosea wapi? Kuhoji credentials za huyu mheshimiwa? Mbona hata mimi majibu yake hayajanikalia vizuri? Nilidhani hapa hakuna aliye sacrosant! Katika nchi iliyojaa Ph.D fake, washindi wa Noble fake, wahandisi fake na hata mafundi mchundo fake!!!! Tupinge hoja zao lakini tusiwabeze!
 
Kwanza, nimpongeza Mwanakijiji kwa juhudi zake za kupata ukweli kuhusu hili jambo.

Pili, niseme hivi Kuhani, GT, katika hili mmeumbuka na mmekatwa ngebe hasa. Na tena msi-twist mambo. Hoja yenu kuu ilikuwa kwamba Masau udkatari wake wa upasuaji moyo ni fake hadi mkawa mna-suggest hata afikishwe mahakamani, sasa vipi tena mnaanza kuleta za kuleta?

Kama kweli hamna chuki binafsi na mafanikio ya huyu ndugu, ombeni msamaha kuhusu hatua yenu ya kifedhuli ya kutaka kudhalilisha taaluma na utaalamu wake, ndipo tuendelee kujadili mambo mengine ya yeye kulipa au kutokulipa kodi. Kama hamuwezi kuomba msamaha kwa hatua hii chafu, basi hatuna sababu ya kuendelea kujadili hii mada.

Zaidi ya yote ifike mahala katika hii forum tuwe wakali kwa mambo ya uzushi, na kama vile ambayo ma-MoDs wanachukua hatua kali kwa waporomosha matusi na wavunjifu wa amani, vivyo hiyvo wafike mahala waanze kuchukua hatua kali kwa wazushi maana hawajidhalilishi wao tu, bali pia hata forum hii.
 
wanafunzi Wanaosomea Uzamili Uk Katika Hospitali Uingereza Hawana Haja Ya Kuwa Registered Wanapochukua Mafunzo Yao Kwani Vyuo Ndio Vinakuwa Vinatambuliwa. Wanapochukua Mafunzo Huwa Wako Live Kwenye Kuwatibu Wagonjwa N.k. Tena Utakuta Wana Vibandiko Vimeandikwa Student ....na Wanakuwa Na Wasimamizi Wao. (wakimaliza Kusoma Na Wanapotaka Kufanya Kazi Ndio Ngoma Huanza Na Maswali Kede Kede ...je Wale Waliosomea Usa Wanaweza Kutupa Mwanga?)

Swala Lingine Je, Kuhani Amesomea Hiyo Fani?

kubeba Box Kama Anabisha Aweke Cheti Alichonacho Kama Sio Health & Safety And First Aid
 
Last edited by a moderator:
kubeba Box Kama Anabisha Aweke Cheti Alichonacho Kama Sio Health & Safety And First Aid

Tunamuomba Kuahani Ajitokeza Hadharani na Jina lake Halisi, We want To double check his credintials and His education.

Mnajua humu JF kuna watu wanapenda misifa waonekane kwamba wameanzisha mada harafu watu wameishabikia,Lakini sifa za namna hiyo sio nzuri mzee
 
Last edited by a moderator:
Kasomea udaktari Muhimbili akaenda Uchina.
HAJAWAHI KUTIBU MAREKANI NA HATAMBULIKI KAMA DAKTARI MAREKANI ILI ATAMBULIKE INABIDI AJISAJILI NA BODI HUSIKA KITU AMBACHO SI RAHISI KWAKE.
NINACHOPINGA HAPA ULE UONGO UNAORUDIWA RUDIWA KUWA ALIKUWA AKITIBU NA KUISHI MAREKANI,KWA BAHATI MBAYA VYOMBO VYETU VYA HABARI VINAANDIKA TU KITU AMBACHO SI KWELI, NITAKUFA NA UKWELI HUU KUWA HAKU PRACTISE MEDICINE YAKE MAREKANI,HILI HALIHITAJI KUMJUA MTOTO WA DR.SALIM AHMED SALIM ALIYEPO NEW YORK ANAYEFANYA WORLD BANK,AU BALOZI DR.MAHIGA.

MWANAKIJIJI AKIWA KIJIJJINI NACHINGWEA ANAWEZA KULIJUA.

AU ATIBU BILA LESENI KAMA ALIVYOSEMA FMES ILA HUO SI UTARATIBU WA NCHI NA WIZARA YA AFYA YA WAMAREKANI.

Oh Mayn! Looks like mgagagigikoko is back with a vengeance! Hahahaa! :D
 
2. Nilikuwa sponsored na University of Texas Health Science Center-Houston kwenda Texas Heart Institute kwenye Cardiovascular Surgery Fellowship Program. Nilikuwa Texas Heart Institute kwenye hiyo program kuanzia January 1997 hadi June 2000 na katika kipindi hicho nilishiriki katika kufanya operation za upasuaji wa moyo zaidi ya 1800 (vielelezo vyote vipo).

Wakati nikiwa Texas Heart Institute sikuwa chini ya Texas Medical Board na hivyo sikuhitaji kuwa na Licence kutoka Texas Medical Board na wala sijawahi kuwasiliana nayo kwani ingekuwa na maana tu kwangu iwapo ningetaka kubaki na kufanyia kazi huko Texas. Mimi lengo langu lilikuwa ni mafunzo na kurudi nyumbani.

Maneno haya yaangaliwe kwa macho mawili! tunahitaji kutofautisha kufanya na kushiriki.
 
Amekubali kuwa hakuwa na licence ya udaktari ya kutibu na hakuwahi kutibu kama Daktari alikuwa Marekani kwenye capacity ya uanafunzi tu, Hakuwahi kuajiriwa kama Daktari na Taasisi yeyote Marekani. Yalisemwa mengi kuwa kafanya kazi na alikuwa akilipwa vizuri angelipwa vipi bila leseni?

Ukiwa na leseni ya udereva ya Tanzania huwezi kuendesha UK au Marekani bila kuwa na leseni au kupewa baraka za bodi zinazohusika na mambo hayo za UK au Marekani.

Masau anasema hajui Mtandao wakati alifanya mahojiano na Mwanakijiji kutokana na mijadala iliyopo humu JF kumuhusu yeye? na anasema hatujui lakini alihojiana na Mwanakijiji wiki tatu zilizopita. Masau amekuwa na kauli za kubabaisha sijui anaficha nini.

Kwenye Mahojiano alisema kuwa kama atawekewa mizengwe na serikali ya Tanzania atarudi Marekani, leo anasema hana leseni ya kutibu Marekani na hakuwahi kuwasiliana na bodi inayotoa vibali kwa madaktari kwani hakuwa na nia ya kuishi Marekani, lakini wakati anaongea na Mwanakijiji ali PRETEND kama ni Daktari anatibu Marekani, hayuko sawa anabadili sana kauli zake.
Ukiwa na leseni ya udereva ya Tanzania huwezi kuendesha UK au Marekani bila kuwa na leseni au kupewa baraka za bodi zinazohusika na mambo hayo za UK au Marekani.

Sio Kweli unaruhusiwa kuendesha kwa muda wa mwaka mmoja ili uiconvert leseni yako sio kwamba huruhusiwi
 
Back
Top Bottom