Majibu ya bodi kwa waliokosa mkopo

dah! wanatuonea sana. yaan hata boom sa tutaishije? dah bora wangetupa hata boom

usikate tamaa,u az a soldier do never retreat nor surrender!SONGA MBELE WE NENDA CHUO KILA KI2 KITAJIPANGA MBELE YA SAFARI!
 
hawa bodi ni majizi wakubwa tena majambaz ya kalamu sugu!inamaa hyo vyeti vya yatima vilivoambanishwa mwanzo hawakuviona?!kwan pia hakuna wa2 wenye wazaz wote wa2 wasio na uwezo wa kuwasomesha watoto wao?
 
hawa bodi ni majizi wakubwa tena majambaz ya kalamu sugu!inamaa hyo vyeti vya yatima vilivoambanishwa mwanzo hawakuviona?!kwan pia hakuna wa2 wenye wazaz wote wa2 wasio na uwezo wa kuwasomesha watoto wao?

imexomeka mkuu,wazi?
 
kwa maana hiyo je kuhusu meals na accomodation hawatoi kabsa au kujilipia

km umekosa mkopo ni kwamba hutopata chochote,kila kitu ujigharamie mwenyewe kuanzia meals,stationary,accomodation bila kuisahau tuishen fees!!!
 
mmmmh! Joyce Mgaya leo amekuwa mkurugenzi co bhanaa Mkurugenz al tokea jion xanaa na waliopata nafasi ya kuongea nae ni watu wawil tu nikiwemo mimi kasema kesho
mapema tuwe pale ataongea nasi
 
Moja ya watumishi wa HESLB amenukuliwa akisema kuwa wengi ya waliokosa mkopo wana sifa hizi1. Wamesoma private schools eiher o-level au a-level.2. Ni equivalant applicant yani wana diploma.3. Walishawahi kupata loan kabla na labda waka disco chuo au wakaacha chuo.3. Course walizopangiwa ni non priority.Amini usiamini, asilimia 90 ya walioenda bodi leo wana sifa hizo, aliyekuwepo bodi leo atanisaidia juu ya hili!
 
Tushawazea na mjibu yao yakukandamiza wanyonge

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
unadhan chadema ndo watafanya kazi vizur?? wakipewa madaraka nao wataanza kujilimbikizia tu,,ni mwendo wa chukua chako mapema,,taifa limeingiliwa tena chadema ndo wachaga haswaaa,,watatukamuajeee

futa kauli tafadhali,wenje,slaa zito athuman,lisu na wengneo n wchaga?jinga we na kama umekosa n mjawapo ndo utaijua ccm yko ikoje.
 
Mkurugenzi akijibu maswali ya watu waliofka kuhoji kwa nini wamekosa mkopo,amewajibu "WALIOPATA WAMEPATA NA WALIOKOSA HAWATAPATA"Cha kuwapa moyo amewaambia wakate rufaa na wasubiri majibu ndani ya 90 days..! Hata hvyo criteria za kupata mkopo KIGEZO KIMOJAWAPO AKASEMA CHETI CHA KIFO KAMA WEWE NI YATIMA, na akasema kuwa kama kuna m2 kanyimwa mkopo na niyatima..apeleke death certificate ili apewe mkopo!..updatedboy!
Huyu mkurugenzi atakuwa ana matatizo, kwani wote walipata mkopo ni mayatima na walipeleka vyeti vya vifo? Mbona wapo wenye wazazi wote wawili na ni wadosi na mikopo wamepata??Ametoa jibu la kipuuzi sana.
 
Back
Top Bottom