Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Sintoshangaa kusikia Dr Ridhiwani Kikwete na Dr Nnape Mwandosya Nnauye wana degree za heshima kutoka chuo kikuu cha Kigamboni cha Mwal Nyerere
 
Kwahiyo wewe hujibu hoja mpaka uulizwe na Ridhiwani!!!
Hata hivyo umefanya vizuri kusema ukweli kuwa HUNA DEGREE...
Mimi ninazo degree mbili, nimeajiri watanzania kibao na ninawalipa mwisho wa mwezi,,, lakini siwezi kukifanya kile ambacho Mh JJ Mnyika anafanya bungeni. This guy is genius, mtu kama huyu huwezi kumnunua kwa gharama yoyote. Nyie kaeni na maelimu yenu ya vyeti tu lakini hamna uwezo wa kufanya chochote bila kubebwa. Mnajikomba kwa maCCM kubembeleza mkate uende kinywani but this guy JJ is fight in his own grounds, his destiny is in himself, you you you your destiny is in Nape's hand
 
Kumbe ka mkubwa ulikimbia shule, japo unafanya vyema mbele ya macho ya mashabiki wako ila shule muhimu sana.acha maneno mengi jitahidi urudi shule ili uwe mfano wa kweli kwa vijana wa sasa.hilo la kwamba utasoma cdm ikingia madarakani kwetu inamaana kwamba hutasoma tena kwakuwa cdm haitarajiwi kushika dola ktk miaka ya karibuni kwakuwa migawanyiko na mitafaruku yenu haitawaacha salama...
soma habari yote.
 
Mnyika nyoosha maneno maelezo marefu kama reli ya kati.

Kwa mwenye elimu ya kiLumumba kama wew hayo ni maelezo marefu; kwa wenye elimu hayo ni machache sana ila yamesheni ukweli na ni rahisi kueleweka.
 
Chapa kazi mbunge wetu, achana nao hao wanataka kukutoa nje ya mstari katika harakati za ukombozi wa taifa hili.
 
mnyika hana degree - confirmed. maneno mengi yote hayo ya nini.

ila kipeperushi chako cha 2005 pale ubungo ulitudanganya wengi.

pia mnyika hukupata daraja la pili kidato cha sita. acha kuendelea kudanganya mtu wa seminari.

wanasiasa wetu waongooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
kwa hiyo alipata ngapi?
 
Hata ungekuwa na elimu ya darasa la saba, maelezo uliyoyatoa hapa yanaonyesha una Masters ya ufahamu na wewe ni kichwa!! Hivyo huyo NAPE na RIZWANI kama vipi wakazamishe vichwa vyao kwenye mchanga kwani ni vilaza wa kutupwa!!. Elimu sio Cheti ni ufahamu na uwezo wa kufumbua mambo wa mtu.namaliza kwa mlinganyo huu 200NAPE + 1000RIZ <= 1MNYIKA!!

Mkuu naona umempa Nape unafuu wa ukilaza compared to Riz! Kwa mlinganyo huu Rizone ni kilaza 5x (mara tano) ya Nape. All in all they are all brainwash, kamwe hawana hadhi ya kumchimba genius Mnyika.Wasiwasi wangu ni kwamba serikali ya CCM kupitia kwa mwanasheria mkuu itakuja na marekebisho ya sheria ya uchaguzi itakayotaka mgombea yeyote wa ubunge (except viti maalum) sharti awe na shahada ya chuo kikuu lengo ikiwa moja tu; kukomboa jimbo la ubungo kutoka CDM. Henda ndiyo maana hawa perpets (Nape na Riz) wa CCM wameanza kulifanya jambo hili kuwa agenda, ni kuwaandaa wananchi kisaikolojia juu ya kusudio lao la kufanya mabadiliko ya sheria ya uchaguzi!!!!!
 
Mkuu Koti Jekundu. Ulichokuwa hujui ni kwamba Mnyika alikuwa anangoja kuulizwa na Ridhiwani. Umeona sasa amejibu swali lilelile ambalo wapiga kura wake walikuwa wanamuuliza hajibu lakini leo kaulizwa na mpiga kura wa Halima Mdee, Ridhiwani, kajibu.
Je, bado unabaki na msimamo wako kuwa Myika akijibu hili swali anakuwa hivyo ulivyosema?

Mbona wewe unajulikana kwamba unamchukia sana Mnyika hembu tukuulize ulipo kuwa Kigoma sijui ulirusha maswali kwa Mnyika kama mpiga kura,Unadhani credibility yake itashuka kwa sababu ya masalia ulioshindwa kuwamanage wakasambaratika,wewe na masalia mulitaka kuonyesha kwamba hajawahi kanyaga chuo Kikuu ,wewe ukaja na swali kwenye thread nyingine ukauliza kama alimaliza shule kumbe upo kwenye timu ya kudhani mutamshusha hadhi,Mnyika anacommand respect kwa sababu ameonyesha ameamua kuchagua kukomboa nchi na wapiga kura wake atawaambia kama alivyotuambia sisi hapa jamvini
Ridhiwani hana command ya respect ya aina yeyote ya nchi hii zaidi ya kuride kwenye mbavu za baba yake toka akiwa chipukizi,UVCCM mpaka NEC wapi alifanya mwenyewe akagombea na akashinda
Nape hajawahi kushinda nafasi yeyote ya ushindani tangu azaliwe na hao wote wana degree lakini bado wanabebwa
Ridhiwani aliend a uingereza kwenye masters akabutuliwa
ukweli ni kwamba uzuri unafahamika kwa sura mbili ulizonazo na tabia yako ya character assacination za viongozi wenzako,nadhani hutachukia kuona mmoja wa masalia akimegwa na kila mtu kwenye mtandao wa viongozi wa mabwe mapande
 
mi ni CCM bt kwa maelezo haya umeniispire sana ktk ujasiri wa maisha na kurambua wajibu na nafasi yangu kama kijana kuboresha maisha yangu na jamii inayonizunguka
nakuona kama au una moyo kama mabilionea wa dunia ambao wote n macollege broker then wameendea njia yao na kuifanya dunia kuwa sehemu ya kukalika rejea kina Bill Gates. Buffet, Jobs na wengine wengi.kwa kuwa ulitengeneza tafsiri ya maisha yako na ukaiamini na kuisimamia..leo vijana wangap mioyo yao imekufa japo wa masters na madegree kwa kuwa ni zai la mvumo usiotoa mwanya wa kustwisha na kuendeleza vipawa na vipanyi vyao..ua my role modal skuwa na mmoja sahihi hapo kwanza
i solute and respect uwezo na thubutu yako
godbless u JJ
 
Kaka Mnyika,

I am so proud of you! You are an inspiration to our generation. Your history is fascinating. The fact that you had excellent grades and opt to fight for our country proves that you are a real KAMANDA. Your history has empowered my inner core spirit. When I compare and contrast your past to Rizione and Nape, I think both of these two intellectual lightweights should SHUT THE HELL UP and salute you. I am sure your efforts will have you achieve the 2015 goal&#8230;. FREEING TANZANIA.


Again, this is very inspiring background.

May God bless you, God bless CHADEMA, and God bless Tanzania.

Uso wa mbuzi.
 
Ahaaa ! kumbe John Mnyika hakudanganya siyo ! Sasa tufanye hivi , ni lazima walioleta huo Uzushi watuletee Ushahidi juu ya tuhuma zao , wakishindwa , napendekeza tuwape BAN ya Milele humu Jf , huu upuuzi wa Nape & co hauvumiliki, sisi ni Great Thinkers hatuwezi kushare Jf na waongo !
 
Kwani rizone anashindana na mnyika ukweli riz mnyika humwezi hata kidogo
 
Haya Nape na wewe tuwekee matokeo ya elimu yako ya awali yaani Drs. la 7, Form IV, na Form VI hapa jamvini. Tuanzie hapo kwanza.

Vinginevyo tukisema huko vyuo vikuu uliingia kwa favour fulani tutakuwa hatukosei. Mnyika kwa matokeo yake anaweza kwenda chuo kikuu chochote dunani hata baada ya miaka 20 ijayo. Tunaomba grades zako tujiridhishe jinsi ulivyoingia Chuo. Hilo tu kwa sasa mheshimiwa.

Briliant argument. Muosha huoshwa.
 
Ulikua House gan pale Maua Seminary? Nadhani ulikua mfano bora siku za Agriculture day. Ushirika palikuhusu sana. Mungu akupe nguvu kamanda.
 
Kumbe hata chuo ambacho mtu kasoma hakumaliza (either disqualified or whatever) kinatambulika????
Ndio wengine hutumia transcript za muda aliokuwa kwenye chuo hicho,nchi zingine unahamisha credit kwenda kukamilisha unit kwenye chuo utakacho kwenda ishu hapa walisema amefika form six kumbe kwa matakwa yake alifika chuo kikuu cha Dar es salaam na kufukuzwa na wanafunzi wengine Nape na changu doa wake Shonza wajidhihirisha hawana wanalolijua vichwani mwao zaidi ya kuwa kama walioishiwa hoja
 
Mh.Mnyika wewe ni mmoja wapo wa tunu ambazo Mungu amelijaria taifa hili.
Kwa jinsi unavyojua kujenga hoja bungeni kila mtu mwenye akili timamu atadhani wewe ni mwanasheria tena aliyebobea
Nifafanue ni kwa nini nasema hivyo:Kuna hoja unazitoa bungeni inabidi mwanasheria mkuuwa serikali asimame na kutoa ufafanuzi wakati hujasomea sheria hata kidogo.
Binafsi namshukuru Nape kwa kukupandisha chati,kwa sababu kama mtu ambaye hana degree lakini anafanya kazi kama Phd holder,hii tuiiteje?
Nikushukuru tena nape kwa kumbeba mabegani mwako Mh.Mnyika ili aonekane bila wewe kujua
 
Wangeanza kuuliza Elimu ya maji Malefu! Na wanachotaka wananchi wa Dsm ni maji na si porojo ccm wanazidi wanazidi kuwa dhambi!
 
Back
Top Bottom