JalfMoney
JF-Expert Member
- Feb 19, 2019
- 739
- 1,147
Wewe je unayo hiyo degree? Tuanzie hapo..angekuwa hajafikia ngazi ya ubunge ushauri kwamba akachukue shahada ya chuo kikuu ungekuwa na maana.
..lakini kwasababu ni mbunge, tena wa kipindi zaidi ya kimoja, basi tunaweza kusema amepata ELIMU YA VITENDO.
..Kuna wanasiasa na viongozi kama RASHIDI KAWAWA ambao elimu yao waliipata field, ktk medani ya siasa.
..Kawawa aliwahi kuwa Waziri Mkuu, Waziri wa ulinzi wakati wa vita vya Kagera, Katibu Mkuu wa CCM, Makamu Mwenyekiti wa CCM. Sasa kiongozi kama huyo, elimu na maarifa aliyokuwa nayo, hayapatikani kwa kukaa darasani ktk chuo kikuu chochote.