kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,461
- 5,864
Nimesoma na kusoma lakini sijaelewa kitu. Mada ni elimu ya Mnyika: elimu yake ni ipi? Ni Form 4 zenye "A" 9? Kasema hakutaka kwenda Ilboru akaona bora aende Seminari. Je ni Mkatoliki? Kama ni Mkatoliki, wito wa kwenda Seminari hufuatwa na kwenda Upadri: kwa nini hakubaki kwenda Seminari ya Kibosho au ya Ntungamo au ya Kipalapala? Kama alitaka kukaa Dar es Salaam (why?) angeenda Seminari ya Segerea, zote hizi ni seniro seminaries. Mapadri ni wajanja: wanaposema hawaruhusu kuoa hawamaanishi HUWEZI kuoa. La sivyo impotents wote wangekuwa ni Maaskofu. Kaoa?
Ghafula bin vuu kaibukia UDSM kufanya BBA part-time. Why part-time? Lakini hata angetaka full-time, haiwezekani: lazima uwe na "A"-level with passes in accountancy or economics. Wanaruhusu Form 4 kama tu unaingia ile MATURE AGE ENTRY, uwe mzee na uwe na uzoefu wa miaka si chini ya 10. Hatuambiwi ana uzoefu gani wa taaluma au kazi yoyote, kwa hiyo hata kujiunga kama NGUMBARU wasingekubali. Hapo kaminya ukweli. Maoni yangu ni kwamba anaposema alipofika mwaka wa tatu akaamua ghafula "aache" nadhani actually walimgundua wakamfukuza, wakamdisco.
Hapo napo ukweli kauminya. Can you trust someone who lies his way out of all quagmires? Awe rais wako? What of the future? Katiba ya Warioba inasema Rais lazima awe na PhD au walau graduate. Mnyika out?
Bill Marconi
Japo sina shaka na uwezo wake wa kitaaluma kuna kitu huwa anakificha mnyika na hii sio sawa ukweli ni kwamba kidato cha Sita alipata C ya Divinity ambayo ndio imemvuta mpaka kwenye Divisio 2 ya point 12 yaani two ya mwisho lkn kwenye masomo yake ya msingi ambayo alitakiwa kuwa na principle pass ili awe na sifa ya kusoma chuo kikuu kwa kipindi kile cha 2002/03 hakufanya Vizuri yaani Kwenye EGM yake alipata DES...sasa kwa ufaulu huo hakuwa hata na vigezo vya kupewa form ya angalau kuomba kusoma UD katika programs za kawaida.. anaposema ameamua tu kusoma Jioni ni unafiki mkubwa... hakuwa na vigezo!...aache bla blaa umri unamruhusu aende shule sasa