Maji ya uhai yapanda bei

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Leo k.koo maji uhai imekuwa mwendo wa buku kwa chupa moja ya lt 1 kwa ajili ya mabomu ya machozi.
 
dah! Biashara leo ilikua nzuri kabisa, 6000-2600= 3400 safiiiiiiiiiiiii wauza maji wamefaidiiiiiii
 
Back
Top Bottom