Maji ya baraka ya (RC) vs maji ya upako ya (Mwamposa)

Soma Ufunuo 22: 18-19 huenda itakuponya na adhabu siku ya kiama
Ezekiel 4:12 Biblia takatifu,au huo msitari ilikuwa unataka kupotosha kuhusu Nini!
1933432277.jpg
 
Kuna mahali kanisa linakwama kwa kupunguza mafundisho ya imani kwa watoto, nashindwa kuelewa inakuwaje unajiita Mkatoliki na bado hauelewi ukuu wa Mama Bikira Maria katika historia ya Ukombozi, na jukumu alilokabidhiwa na Yesu Kristo pale msalabani na baada ya kufufuka kabla hajapaa.

Unashindwa hata kuelewa kwanini Mama Bikira Maria ndie Sanduku la agano lililoptea pale mlimani, likaja kuonekana kwa ishara mawinguni baada ya kupalizwa?

Bado huyo unamuita ni mwanadamu wa kawaida? Ungesema wewe si Mkatoliki kidogo ningekuelewa, japo kuwa Mkristo tu kunakufanya ufahamu vitu kama hivi.
Unakufuru,nafasi ya Bwana Yesu haichukuliwi na yeyote.Bikira Maria ni mtu wa kawaida tu.
 
Ndugu wagalatia. Mimi ninayo maji kutoka Vatican direct. Yamebarikiwa na PAPA mwenyewe na yanatoka ktk Chemchem takatifu kabisa.
Chupa ya lita nzima nauza laki 5 tu.
Nimeweka kwenye zile chupa za Azam lkn hakuna lebo.
Sasa msije mkadhani ni ya Azam.
Nimeona nitoe taarifa mapema kabisa.

Ukinywa hayo maji shida zote kwaheri. Mpk wagumbi km MK254 au Mlaleo yanawatibu fasta.

Weka oda yako mapema.
Nimeleta kidogo tu.
 
Back
Top Bottom