Maji ya baraka ya (RC) vs maji ya upako ya (Mwamposa)

Kuna utofauti mkubwa sana Bwaaa shekhe.

1. Maji ya Baraka hayauzwi ili hali yale ya upako yanauzwa.

2. Maji ya Baraka sio mali ya mtu, ili hali yale ya upako ni mali ya Mwamposa.

3. Maji ya Baraka yana nguvu ya Mungu, ili hali yale ya Upako hayana nguvu ya Mungu bali binadamu na ndio Maana yanauzwa.

Kuhusu Sakramenti na vimikate vingine.

1. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni mwili kweli na damu kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo, ili hali Mikate hiyo mingine ni Mikate tu kama Mikate.

2. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu inatupa Uzima wa Milele, Wakati Mikate hiyo mingine haina uwezo huo.

Ingekuwa kama wanaziabudu hizo sanamu

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Upo kwenye kibox flani hivi cha uelewa.Hulijui neno bali umekariri vitu na sio philosophy behind.Pia unaamini dhehebu lako ndio ukweli wote.Roho mtakatifu akiwa kwako utaheshimu wengine na hata kama wana kasoro utasaidia na si kujimwambafy.maji ni maji yakiombewa kwa jina la Yesu yanakuwa na nguvu ya kimungu,ndio hayo ya baraka,ya ubatizo nk So hata mwamposa maji yake yanaweza kuwa na nguvu kama yamehuishwa kwa jina la Yesu.Vivyo hivyo keki,mkate nk.
 
Kaka Ibra, kwahiyo Mungu ambaye ndiyo mwenye mbingu na nchi na dunia ni sehemu yake ya kuweka miguu na utajiri wote wa dhahabu na almasi , samati anataka mnyonge ombaomba atoe hela ndio aponywe?
Maybe am missing a point.
Mbona hata RC Kuna huduma ambazo hupati bila kulipia.
Mbona rc wanawapangia watu zaka kulinga na hali za uchumi wao na wakati zaka iko stated well kibiblia?. Yako MENGI, kikubwa tazama mungu anatakutaka wewe ufanye
 
Dini ya kweli ni Upendo tu. Hivyo mimi naona buddism na hinduism are the best religion.
Kwani ni hizi tu ndo zinahubir na kutenda upendo, dhehebu halitahukumiwa, atakaehukumiwa ni mtu yule atendae dhambi.
Uwe dhehebu la mwamposa, sijui la mwakasege, cjui linaloweza kutoa Rais wa inchi, cjui uislam, sjui bakwata nk. Utaiona Pepo Kwa ajila ya matendo Yako.
Hakuna dini iliyo ya kweli Wala ya uwongo
 
Huo uumbaji ni uumbaji gani? Una hakika na unayosema au ni mambo ya kufikirika tu?

Kama unasisitiza sana "the parent will remain the parent", unasisitiza umuhimu wa cause and effect, sasa Mungu katokeaje? Who/ what is God's parent/cause?

Umesoma "Quantum Causal Loop" na kuielewa?

Experiments maana yake ni kutaka kujua jambo fulani lilitokeaje (cause and effect). Huyu anayefanya experiment, amekuta tayari jambo hilo lipo. Hafanyi experiment ili kuongeza kitu chochote kwenye kile alichokikuta - anafanya experiment ili apate kujua ukweli na hatimaye ageneralise.

Cause and effect in a cyclic nature does not justify that the things on the earth brought by themselves; this is just the way they were made to be. Things like mountains, oceans, lakes, rivers, and so forth have been made to be so, and you don't question on them! Why questioning on cause and effect in a cyclic nature?

Watu wanajaribu kupata ukweli halisi juu ya uumbaji, wanaposhindwa, ndipo wanakuja na conclusions zao za ajabu ajabu. Hivi kweli unaweza kumfanyia Mungu experiment? Yaani aliyekuumba umchunguze alikuumba umbaje. Hivi kinyago kinaweza kumfanyia experiment aliyekichonga?!
 
Hujathibitisha Mungu yupo wala anahitajika.
 
Hakuna imani wala nini ipo siku utajua kuwa hata ww unajua kuandaa yesu alitufia dhambini kwahiyo yale mambo ambayo zaman yalikuwa yanafanywa na manabii, mitume, makuhani lakini sasa hata ww waweza andaa funga muombe elishadayi atakusaidia
 
Kwani Yesu alivokufa msalabani aliondoa vipawa vya unabii, au utume? Au uwalimu au ukuhani. La hasha, manabii wa kweli wapo, mitume wapo, kuhani na walimu nk wapo,
Ila alikuambia jilindeni maana watakuako na WA uwongo pia,
Na kujua waongo lazima usome neno, omba sana utafunuliwa, vinginevyo huwezi.
Hata haya makanisa yetu, Anglican, kkkt, rc, nk wachungaji wamejaa ukahaba, ufedhuri, wizi, na tabia zngine za hovyo. Tunasema aliye wa Nuru ameni, na aliye wa Giza ataaibishwa na Mungu mwenyewe Kwa wake.
 
Kuna utofauti mkubwa sana Bwaaa shekhe.

1. Maji ya Baraka hayauzwi ili hali yale ya upako yanauzwa.

2. Maji ya Baraka sio mali ya mtu, ili hali yale ya upako ni mali ya Mwamposa.

3. Maji ya Baraka yana nguvu ya Mungu, ili hali yale ya Upako hayana nguvu ya Mungu bali binadamu na ndio Maana yanauzwa.

Kuhusu Sakramenti na vimikate vingine.

1. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni mwili kweli na damu kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo, ili hali Mikate hiyo mingine ni Mikate tu kama Mikate.

2. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu inatupa Uzima wa Milele, Wakati Mikate hiyo mingine haina uwezo huo.

3. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni Kwaajili ya Wakristo Wakatoliki, tena waliojiandaa yaani wamejitakasa kwa toba na matendo mema, ili hali Mikate hiyo mingine inaliwa na yeyote bila kujali dini yake wala hali yake Kiroho.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Umeelezea vizur
 
RC wananikera na kunifikirisha haswa kile kidude wanacho chomaga kutoa moshi na hapo ndio hia sielewi
 
Maji yetu Katoliki na hayo ya Mwamposa na Tonny Kapola hayana shida ila tatizo linakuja pale Mtu anapoacha kumwabudu Mungu anabaki na Maria
Maria ni mwanadamu tu na baada ya kumzaa Yesu aliendelea na masiha kawaida na bwana ake na alipata watoto wengine: Kuendelea kumuita bikra ni uongo.
Lakini walokole kama TAG nawakubali kwakuwa hawana mambo ya sanamu wala maji ya upako.

Hebu tupe ilimu kidogo ya wadogo wa Yesu
 
Logical non sequitur.

Kwanza hujathibitisha kuwa kulikuwapo na Adam na Hawa.

Pili, hata ukithibitisha kuwa Adam na Hawa walikuwapo, hujathibitisha kwamba waliumbwa na Mungu.

Yani ni hivi, hata ikiwa watu wa kwanza hawakutoka kwenye vacuum, huo si uthibitisho kwamba wameumbwa na Mungu.

Na kama unaona swali la "wametoka wapi, wametoka kwenye vacuum" ni muhimu, hata huyo Mungu naye naweza kukuuliza "Mungu naye katoka wapi, katoka kwenye vacuum"?
Mkuu umechanganyikiwa,wewe ni logical sequitur tu

Unamjua mvumbuzi wa logic

Logic ni True or False scenerios tu

Logic ni assumptions tu

Ndio maana wanaanza na neno "if

Logic ni comparison

Sasa huwezi thibitisha mambo kwa logic

Uliona wapi na hata mvumbuzi wa logic hakufanya kama wewe
 
Hata unapokataa logic, unatumia logic, pengine bila kujua.

Hata unaposisitiza uwepo wa Mungu, unatumia logic, pengine bila kujua.

Huwezi kujenga hoja ya kuwepo Mungu bila kutumia logic.

Hivyo, ukikataa logic, unakataa uwepo wa Mungu pia.

Yani ni hivi.

Ukikubali logic, logic itakupeleka kukuonesha Mungu (kuanzia na mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uzuri wote) hayupo. Ukiangalia the problem of evil na Epicurean Paradox utaona hilo.

Ukikataa logic, kukataa logic huko nako kitakupeleka katika dunia ambayo haimhitaji Mungu, maana hadithi ya kuwapo Mungu ni jitihada ya kuielezea dunia iliyo katika logic, imeumbwa na nani? Imetokeaje? Imekuwaje hivi ilivyo?

Ukiondoa logic, umeondoa haja ya Mungu kuwepo.

Upo kwenye njiapanda ya kwenda kukubali au kukataa logic. Njia yoyote utakayochukua, unakuta ama Mungu hayupo, ama hahitajiki kuwepo.
 
Hebu tupe ilimu kidogo ya wadogo wa Yesu
Haikuwandikwa, Munge endelea kuwaabudu.
Wapo manabii na mitume historia zao zilifutwa na Mungu ili wanadamu tusiwaabudu.
Assume tu Maria ambaye Yesu alikuwako kabla ya ulimwengu kuumbwa na akapitia tumbo la Maria lakini watu wanamuabudu Maria badala ya Yesu ambaye ni Mungu , je watoto waliofuata baada ya Yesu si mngekuwa mnavaa masanamu yao shingoni?
 
Back
Top Bottom