Maji ya bahari mbili kutokuchanganyika. Je, hii ni miujiza ya Allah au ni ukosefu wa elimu?

Kwa nini pia hujagusia different rock formation kwenye seabed ambayo inawezekana inakuwa reflected kwenye uso wa bahari.
 
Kama kitu hujui ni bora ukanyamaza. Kwa imani yetu ya dini yetu si kuwa tunavumisha katika Qur'an masuala kama haya na mengine mengi mf.tetemeko la ardhi yalishaelezwa.na ndio maana tunaamini kwamba Qur'an ndio mfumo mzima wa maisha ya binadamu. Hii ni imani tunayoamini sisi waislam sasa usitake tubishane.
Wanakwepa hoja ya msingi; Karne 14 zilizopita ni Mwanasayansi gani aliyekuwa na capacity, na capability ya kufanya research kwa kila sekta na kuyasema mambo yote hayo yaliyotajwa katika Quran? Haihitaji akili nyingi kujua ujumbe wa Quran ni unique kiasi gani.

In short hypothesis za kisayansi zinaanzia kwenye Quran na kisha ndipo wanachapisha vitabu ambavyo mtoa mada anakuja kufanya ndio rejea zake.
 
Sijui kwa nini umetolea ufafanuzi kwa kubeza waislam kuwa hawana elimu,yaani kwa ufafanuzi huu wa kuungaunga wewe uwe msomi mkubwa kupita waislam wote duniani?je waislam hawapo wanasayansi wakagundua kama ulivyogundua wewe? Kumbuka kuna hivi vitu viwili haviingiliani baadhi ya mambo imani na sayansi.Kwa hiyo kutoungana kwa bahari hizo mbili ni ishu ya kiimani kwa upande wa waislam na vilevile ukitaka itia kwa ishu ya kisayansi inajibika na si kwamba waislam hawana elimu.Ushauri wangu kwako punguza chuki dhidi ya waislam kwani sisi wote ni ndugu tunaotegemeana.
 
Muujiza si kutochanganyika kwa maji tu, ile Mtume (SAW) kujua na kuataja uwepo wa bahari mbili na mtu ambae hakuwahi kufika sehemu husika, ujue ni muujiza mkubwa kuliko physics yako, na pia ku proove kuwa alikua hakurupuki bali anashushiwa aya. na imeatjwa kwa sababu nyinyi muamini, lakini "sumun bukmun umyun" mpaka kiama.
Definitely! Akiwezaje kutaja vitu complex namna hiyo ambapo leo hii tunatumia teknolojia ya hali ya juu kuvibaini wakati teknolojia hiyo haikuwepo karne hizo? Je hawatafakari katika nafsi zao?.... (Ar-Rumi)
 
Yaani mtu asiyeuelewa uislam kuja na hoja za kuupinga ni jambo la kushangaza sana, hali kadhalika asiyemkristo kuukosoa ukristo.

Kwanini kila watu wasibaki na mambo yao, kama ni elimu, ujuzi au utaalam, utumike kuielezea dini au kile unachokiamini kwa ufasaha.

Huu uzi ungekua na maana sana kama ungejikita kwenye kueleza maji kutokuchanganyika upesi kisayansi bila kuhusisha uislam.
Mudy alishaulizwaga jua likizama linaenda wapi. Akajibu kwenye dimbwi la tope
 
Kila siku najiuliza dunia bila uislam haisongi mbele,kila siku mwatutafuta tu.
Maneno hayo ya quran na hayo mahesabu yakwapi yalianza kusemwa?
 
Hata hio aya uliotumia haielezi kwa undani hayo maji ya bahar mbili, Surat Arrahman ndio yenye kueleza maji ya bahar mbili hayachanganyiki
 
Naweka masuala ya dini pembeni, ila khaaa... kama sayansi ingekuwa inafundishwa kwa kiswahili ulichoandika hapa sijui wangapi wangetoboa..tuendelee tu kujifunza tulivyozoea density =mass/volume
 
Mm ninaona umejaribu kuelezea sababu ila maandiko yameshaeleza hata kabla ya wanasayansi hawajazaliwa.Ahsante kwa kuelezea sababu vizuri.
 
Mtoa mada unaonekana wewe ni chizi,ivi ngoja nikuulize swali hizo element unazozijua wewe ziliumbwa nanan?ukinijib tutaenda sawa
 
MAJI YA BAHARI MBILI KUTO KUCHANGANYIKA.

JE, HII NI MIUJIZA YA ALLAH AU NI UKOSEFU WA ELIMU?

Leo nitajibu hoja dhaifu ya Waislam kuhusu madai ya maji ya Bahari mbili kuto kuchanganyika. Je, hii ni miujiza au ni ukosefu wa elimu ya fizikia?

Ili kufahamu nini kilitokea kuhusu kuto changanyika kwa maji, ni vema kwanza tujifunze Fizikia ya darasa la Nne kuhusu Densiti.

ALLAH katika Qurani Sura ya 18 aya 60 mpaka 82
"Nakumbukeni Musa alipomwambia kijana wake wake nitaendelea na safari mpaka nifike katika ya maungano ya bahari mbili au niendele karne na karne mpaka nikutane na huyo ninayetaka kukutana naye."

Basi, Waislam walipo ona picha ya ya bahari mbili (madai yao), wakaunganisha na hii aya kuwa ni miujiza ya Allah. Kwa bahati nzuri, hapa katika huduma ya Max Shimba Ministries, tunawasomi walio bobea wa Sayansi, Hisabati na Biologia. Hivyo leo tunawajibu Waislam kwa kutumia sayansi.

Tuanze na kanuni ya Densiti:

DENSITI NI NINI?

DENSITI = MASI/MJAO

DENSITI
Densiti ni kipimo cha kulinganisha masi na mjao wa gimba fulani. Alama yake ya kifizikia huwa ni ρ (rho).

Gimba lenye densiti kubwa huwa na mada nyingi katika mjao fulani. Gimba lenye densiti ndogo huwa na mada kidogo katika mjao uleule. Densiti kubwa husababisha ya kwamba sisi tunaita kitu "kizito".

Vipimo kwa kawaida vya densiti huwa ni g/cm3 na kg/m3.

Kwa kutumia maantiki:
Maji yasiyo na chumvi ndani yake huwa na densiti 1. Lita 1 huwa na masi ya kilogramu 1.

MASI NI NINI?
Masi katika elimu ya fizikia ni tabia ya mata, na kwa njia hii pia tabia ya gimba au dutu.

Kipimo sanifu cha kimataifa cha masi ni kilogramu. Alama yake katika fomula kwa kawaida ni {m}.

MJAO NI NINI?
Mjao (kwa Kiingereza volume) unaeleza ukubwa wa gimba la hisabati (mchemraba, tufe, mcheduara) kwa kupima nafasi ya yaliyomo yake.

Hupimwa katika vizio vya ujazo kama mita ujazo (m³) au sentimita ujazo (cm³).

Kila gimba lenye urefu, upana na kimo huwa na mjao.

MAJI YA CHUMVI:
Maji ya chumvi ni maji yenye kiasi cha myeyusho wa chumvi ndani yake. Kwa kawaida kila aina ya maji huwa na kiwango cha chumvi iliyoyeyushwa.

Kwa wastani, maji katika bahari ya dunia yana chumvi kwa karibu 3.5% (35 g / L, 599 mM). Hii ina maana kwamba kila kilo (takriban lita moja na kiasi) ya maji ya bahari ina takriban 35 gramu (1.2 oz) ya chumvi zilizoharibiwa (Zaidi ya sodiamu (Na+) Na kloridi (Cl-) Ions). Wastani wa wiani juu ya uso ni 1.025 kg / L.

Maji ya bahari ni denser/mazito kuliko maji safi na maji safi yana (wiani 1.0 kg / L saa 4 ° C (39 ° F)) kwa sababu chumvi zilizoharibiwa huongeza wingi kwa kiasi kikubwa. Sehemu ya kufungia ya maji ya bahari inapungua kama ongezeko la chumvi linapo ongezeka. Katika salinity ya kawaida, inafungia nyuzi 2 ° C (28 ° F). Maji ya bahari ya baridi (katika hali ya kioevu) ilikuwa mwaka 2010, katika mkondo chini ya glacier ya Antarctic, na kipimo cha -2.6 ° C (27.3 ° F). Maji ya bahari ya pH ni kawaida kwa kiwango cha kati ya 7.5 na 8.4. Hata hivyo, hakuna kiwango cha pH kinachokubaliwa kwa kiwango kikubwa kwa maji ya bahari na tofauti kati ya vipimo kulingana na mizani tofauti ya kumbukumbu inaweza kuwa hadi vipimo 0.14.

MAJI MATAMU:
Maji matamu ni maji yasiyo na chumvi nyingi ndani yake.

Kwa kawaida maji ya mvua, ya mtoni au ziwani huitwa "maji matamu" maana yake ya kwamba kimsingi inafaa kwa kunywa au kumwagilia mimea hata kama mara nyingi inaweza kupatikana na matope au machafuko ndani yake. Kinyume chake ni maji ya chumvi jinsi inavyopatikana baharini au katika maziwa kadhaa.

Kitaalamu maji huitwa "matamu" kama kiwango cha chumvi ndani yake ni chini ya asilimia 1 au gramu moja ya chumvi katika lita ya maji. Sehemu kubwa ya maji matamu yanayopatikana duniani ni theluji na barafu ambayo ni hasa mvua iliyowahi kuganda katika hali ya hewa baridi

SASA NITAELEZA KWA LUGHA YA KAWAIDA ILI WOTE WAELEWE KWANINI MAJI HAYA HAYACHANGANYI KWA HARAKA.

Kwanza ningependa mfahamu kuwa, SIO bahari mbili zinakutana. Hili dai la Waislam ni uongo na ukosefu wa elimu. Hii picha inayo tumiwa ni kukutana kwa "glacial melt water" na "off shore waters" ya ghuba ya Alaska.

Sababu ya tukio hili la ajabu ni TOFAUTI ya DENSITI YA MAJI, Joto la maji, ujazo wa chumvi katika hayo maji yaliyo yeyuka kutoka Barafu, na maji ya ghuba ya Alaska, yanashindwa kuchanganyika kwa sababu ya tofauti ya densiti yao.

Maji ya bahari huwa na kiwango cha chumvi cha asilimia 3.5 iliyoyeyushwa ndani yake. Wataalamu mara nyingi hutaja kiwango cha 0.1 % kuwa maji matamu.

Kwasababu maji haya yote ni ya baridi "temperature" sana kinacho tokea ki kwamba, mchangayiko wake unachukua muda.

Mmumunyo au myeyusho (kwa Kiingereza solution) ni tokeo la kuchanganya kabisa dutu mbili hadi kupata mchanganyiko wa aina moja usioonyesha sehemu zake. MFANO RAHISI: ni kukoroga sukari katika maji. Hapo sukari haionekani tena imechanganika kabisa na maji. Ikiwa maji ni baridi, sukari itachukua mda mrefu sana kuchanganyaki kulinganisha na maji ya moto au vuguvugu.

Hivi ndivyo inatokea katika ghuba kule Alaska ambapo maji yote ni baridi na majimyeyuko kutoka barafu yenye chumvi ndogo sana inachukua muda mrefu sana kuchanganyika na maji ya ghuba yenye chumvi ya asilimia mpaka 3.5

Je, huu ni muujiza au ni sayansi ya kawaida tu?

Ndio maana naendelea kusema Allah sio Mungu.

Shalom,
Baki na unachokiamini mambo usiyoyaelewa na kuja kuyapinga sio uungwana...tunakustahi kwa vile tupo kwenye mwezi mtukufu.
 
Nimepishana nao mwembechai hapo wanakuja....jiandae mkuu maana sijui kama watakuacha baada ya somo hili.
 
Huyu kijana naona kanukuu aya kwenye Qur'an, na Hapo kuna aya nyingine kaiacha,Hiyo aya aliyoitoa hapo inatukumbusha tu" kisa cha Nabii Musa kupewa alama ya wapi atamkuta yule jamaa mwenye ilmu kubwa tu basi,na ndio shida ya kusema jambo usilo na ilmu nalo,ni watu wanao somasoma aya moja moja ili akabishane...sipo hapa kubishana kwa kuwa Qur'an imesema"Wanaoupinga uislam,uwaambie kwa namna yoyote kila mfano na kila namna hakuna kitakachowazidishia isipokuwa ni kupinga tu,na sehemu nyingine MUNGU anasema huyu binadamu aliemuumba"ameshindikana kila kitu kwa ubishi.

Kwenye hiyo aya MUNGU kasema hivi..

Na yeye(MUNGU) ndie aliezikutanisha bahari mbili..na MUNGU anajisifia kwenye Qur'an kwa kusema"'hakuna mfano wowote ambao upo kwenye Qur'an ambao ameuto ukawa hauna maana,na mwenyewe MUNGU anendelea kwa kusema, haoni aibu kumtaja hata mbu kwenye mifano, ila wenye hitilafu kwenye mioyo yao huchagua aya zenye utata na kuzikosoa.

Wamekaa binadamu wamemkaririsha hayo mahesabu yake'anaamini,Ila yeye kutafakari kwenye hicho kitabu cha MUNGU hataki bali ni full kukanusha tu"hilo kwake ni tatizo.

NB:na ndio maana MUNGU anasemaa,Qur'an imeletwa tu kwa wale walioamini na hao wasioamini,watatafuta tu hitilafu ili wabaki wakosoe na hapo wanazidi kujiwekea vizibo kwenye mioyo yao na kamwe hawataelewa.

Ingawa kuna mawimbi makubwa, mikondo yenye nguvu na kupwa na kujaa katika bahari hizi, hazichanganyiki wala kuvuka kizuizi hiki.

Qur’an ilieleza kuwa kuna kizuizi baina ya bahari mbili, hazichupi mipaka. Allaah amesema: “Anaziendesha bahari mbili zikutane; Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane.”
Qur’an Surat Arrah'man 55:19-20

Lakini pindi Qur’an inapozungumzia kigawanyi baina ya maji baridi na ya chumvi, hutaja kuwepo kwa “kitenganishi kizuiacho” na kizuizi pamwe.

“Naye Ndiye Aliyezipeleka bahari mbili, hii tamu mno, na hii ya chumvi chungu. Na akaweka baina yao kinga na kizuizi
Subhana Allah
 
MAJI YA BAHARI MBILI KUTO KUCHANGANYIKA.

JE, HII NI MIUJIZA YA ALLAH AU NI UKOSEFU WA ELIMU?

Leo nitajibu hoja dhaifu ya Waislam kuhusu madai ya maji ya Bahari mbili kuto kuchanganyika. Je, hii ni miujiza au ni ukosefu wa elimu ya fizikia?

Ili kufahamu nini kilitokea kuhusu kuto changanyika kwa maji, ni vema kwanza tujifunze Fizikia ya darasa la Nne kuhusu Densiti.

ALLAH katika Qurani Sura ya 18 aya 60 mpaka 82
"Nakumbukeni Musa alipomwambia kijana wake wake nitaendelea na safari mpaka nifike katika ya maungano ya bahari mbili au niendele karne na karne mpaka nikutane na huyo ninayetaka kukutana naye."

Basi, Waislam walipo ona picha ya ya bahari mbili (madai yao), wakaunganisha na hii aya kuwa ni miujiza ya Allah. Kwa bahati nzuri, hapa katika huduma ya Max Shimba Ministries, tunawasomi walio bobea wa Sayansi, Hisabati na Biologia. Hivyo leo tunawajibu Waislam kwa kutumia sayansi.

Tuanze na kanuni ya Densiti:

DENSITI NI NINI?

DENSITI = MASI/MJAO

DENSITI
Densiti ni kipimo cha kulinganisha masi na mjao wa gimba fulani. Alama yake ya kifizikia huwa ni ρ (rho).

Gimba lenye densiti kubwa huwa na mada nyingi katika mjao fulani. Gimba lenye densiti ndogo huwa na mada kidogo katika mjao uleule. Densiti kubwa husababisha ya kwamba sisi tunaita kitu "kizito".

Vipimo kwa kawaida vya densiti huwa ni g/cm3 na kg/m3.

Kwa kutumia maantiki:
Maji yasiyo na chumvi ndani yake huwa na densiti 1. Lita 1 huwa na masi ya kilogramu 1.

MASI NI NINI?
Masi katika elimu ya fizikia ni tabia ya mata, na kwa njia hii pia tabia ya gimba au dutu.

Kipimo sanifu cha kimataifa cha masi ni kilogramu. Alama yake katika fomula kwa kawaida ni {m}.

MJAO NI NINI?
Mjao (kwa Kiingereza volume) unaeleza ukubwa wa gimba la hisabati (mchemraba, tufe, mcheduara) kwa kupima nafasi ya yaliyomo yake.

Hupimwa katika vizio vya ujazo kama mita ujazo (m³) au sentimita ujazo (cm³).

Kila gimba lenye urefu, upana na kimo huwa na mjao.

MAJI YA CHUMVI:
Maji ya chumvi ni maji yenye kiasi cha myeyusho wa chumvi ndani yake. Kwa kawaida kila aina ya maji huwa na kiwango cha chumvi iliyoyeyushwa.

Kwa wastani, maji katika bahari ya dunia yana chumvi kwa karibu 3.5% (35 g / L, 599 mM). Hii ina maana kwamba kila kilo (takriban lita moja na kiasi) ya maji ya bahari ina takriban 35 gramu (1.2 oz) ya chumvi zilizoharibiwa (Zaidi ya sodiamu (Na+) Na kloridi (Cl-) Ions). Wastani wa wiani juu ya uso ni 1.025 kg / L.

Maji ya bahari ni denser/mazito kuliko maji safi na maji safi yana (wiani 1.0 kg / L saa 4 ° C (39 ° F)) kwa sababu chumvi zilizoharibiwa huongeza wingi kwa kiasi kikubwa. Sehemu ya kufungia ya maji ya bahari inapungua kama ongezeko la chumvi linapo ongezeka. Katika salinity ya kawaida, inafungia nyuzi 2 ° C (28 ° F). Maji ya bahari ya baridi (katika hali ya kioevu) ilikuwa mwaka 2010, katika mkondo chini ya glacier ya Antarctic, na kipimo cha -2.6 ° C (27.3 ° F). Maji ya bahari ya pH ni kawaida kwa kiwango cha kati ya 7.5 na 8.4. Hata hivyo, hakuna kiwango cha pH kinachokubaliwa kwa kiwango kikubwa kwa maji ya bahari na tofauti kati ya vipimo kulingana na mizani tofauti ya kumbukumbu inaweza kuwa hadi vipimo 0.14.

MAJI MATAMU:
Maji matamu ni maji yasiyo na chumvi nyingi ndani yake.

Kwa kawaida maji ya mvua, ya mtoni au ziwani huitwa "maji matamu" maana yake ya kwamba kimsingi inafaa kwa kunywa au kumwagilia mimea hata kama mara nyingi inaweza kupatikana na matope au machafuko ndani yake. Kinyume chake ni maji ya chumvi jinsi inavyopatikana baharini au katika maziwa kadhaa.

Kitaalamu maji huitwa "matamu" kama kiwango cha chumvi ndani yake ni chini ya asilimia 1 au gramu moja ya chumvi katika lita ya maji. Sehemu kubwa ya maji matamu yanayopatikana duniani ni theluji na barafu ambayo ni hasa mvua iliyowahi kuganda katika hali ya hewa baridi

SASA NITAELEZA KWA LUGHA YA KAWAIDA ILI WOTE WAELEWE KWANINI MAJI HAYA HAYACHANGANYI KWA HARAKA.

Kwanza ningependa mfahamu kuwa, SIO bahari mbili zinakutana. Hili dai la Waislam ni uongo na ukosefu wa elimu. Hii picha inayo tumiwa ni kukutana kwa "glacial melt water" na "off shore waters" ya ghuba ya Alaska.

Sababu ya tukio hili la ajabu ni TOFAUTI ya DENSITI YA MAJI, Joto la maji, ujazo wa chumvi katika hayo maji yaliyo yeyuka kutoka Barafu, na maji ya ghuba ya Alaska, yanashindwa kuchanganyika kwa sababu ya tofauti ya densiti yao.

Maji ya bahari huwa na kiwango cha chumvi cha asilimia 3.5 iliyoyeyushwa ndani yake. Wataalamu mara nyingi hutaja kiwango cha 0.1 % kuwa maji matamu.

Kwasababu maji haya yote ni ya baridi "temperature" sana kinacho tokea ki kwamba, mchangayiko wake unachukua muda.

Mmumunyo au myeyusho (kwa Kiingereza solution) ni tokeo la kuchanganya kabisa dutu mbili hadi kupata mchanganyiko wa aina moja usioonyesha sehemu zake. MFANO RAHISI: ni kukoroga sukari katika maji. Hapo sukari haionekani tena imechanganika kabisa na maji. Ikiwa maji ni baridi, sukari itachukua mda mrefu sana kuchanganyaki kulinganisha na maji ya moto au vuguvugu.

Hivi ndivyo inatokea katika ghuba kule Alaska ambapo maji yote ni baridi na majimyeyuko kutoka barafu yenye chumvi ndogo sana inachukua muda mrefu sana kuchanganyika na maji ya ghuba yenye chumvi ya asilimia mpaka 3.5

Je, huu ni muujiza au ni sayansi ya kawaida tu?

Ndio maana naendelea kusema Allah sio Mungu.

Shalom,
Elezea Sayansi behind this scene,,,,,katika bahari hizo mbili ambazo Wanasayansi waDunia wameshindwa kuelezea Circumstances na facts za New World Science,,,,

sddefault.jpg
 
Na Qur'an haikukusudia makutano hayo,,,

Mussa alienda kukutana na Nabii mwenye kujua mambo yasiri ama yajao,,,alikuwa anaitwa KHIDHR,,,Sijui wa imani nyingine wanamuitaje,,,,
Na hakika alifanya vya kumshangaza Mtume Mussa ikiwepo *Kuuwa kijana mdogo ,,,Kutoboa mashuke,,,Kukuta ukuta umebomoka na kuujenga,,,,,

Yule kijana aliyemuuwa ilikuwa kwa sababu atakapo kuwa mkubwa atakuwa muovu sana na ilhali wazazi wake walikuwa wema,,,,,,na mashuke zilizotobolewa ziliepushwa kukamatwa na mfalme mmoja katika bahari waliyokuwa wanatumia,,, na ukuta uliojengwa ulizuiwa kudondoka maana ubavu wa pili wa ukuta kulikuwa na watoto yatima.

Na mahali hapo Mussa alipokutana na huyo Nabii ,,Samaki aliyekaangwa alirudi Bahari ambapo kipindi hicho kinatokea Musa alijuwa amelala na alikuwa na kijana wake anayemsaidia kazi na huyu si mwingine bali ni Haruna,,,,wakristo wanamwita Haroon,,,,,

Ni Hayo tu katika machache niyajuayo,,,kama unataka kujifunza google ,,tafuta resourcez,,,na hivi vitu vipo usivifanyekipropaganda na kwa kufuata utashi wa imani yako.
 
Back
Top Bottom