Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.

Satan ay work,Shindwa shetani ww, asa yeye Lema anaongoza Ars yenye matukio yanayoratibiwa na wendawazimu wenzako, je huyo anayeongoza nchi ambayo Ars yenye matukio ni sehemu yake tumsemeje.
 
sasa si bora sisi tumepigwa huku tukipigania rasilimali ya taifa

kuliko nyinyi mnapigwa eti kwa maslahi ya lema,kama sio u.fa.la tuite nini??

mnakua kama chanuo..,kazi zake ni mbili tuh kuchana nywelee na kusuka nywelee..

lini mtaanza kujitambua??

Watu wameumia wewe unakejeli.
Yaani jamani watu wengine hata shukurani hamna.Unachuki ya bure na Lema mbona wewe mwanaume mzima wakati unaolewa alikuchangia hasira naye za nini.Au ndoa ya jinsia moja imeanza kukutesa.
 
matusi yako hayabadilishi kuwa godless lema ni janga kwa taifa hili.
 
Nikikumbuka jinsi katibu wa chadema mkoa wa kinondoni henry kilewo alivyommwagia tindikali musa tesha kule igunga, naona hawezi kushindwa kutekeleza hili tukio la arusha, jinsi lwakatare alivyokamatwa na ile video yake akipanga ugaidi hawezi kushindwa kutekeleza hili la arusha. Wanaweza kushirikiana hawa

Mkuu ilikuwaje mahakama ikashindwa kupata ukweli hi hii kesi na akaachiwa huru?? Naona Mwigulu alidhani kuzunguka na Tesha ni deal.... Poor politics
 
Arusha mmekuwa
watumwa na wafungwa wa uhuru na amani lakini haitwafanya muwe wafungwa
au watumwa wa fikra na mabadiliko. Napendekeza waziri wa ulinzi ajiuzulu
kwa kushindwa kuzima matukio ya arusha kwa mfululizo. wanatuua kwa vitu
vyenye ncha kali huku na wao wakifa kwa mafuriko, ajali na maradhi
msiogope hakuna atakaeishi milele

Tuko pamoja na nyie Watanzania wa Arusha

Mmoja kati ya wamiliki wa baa hiyo iliyokumbwa na masaibu hayo ni Ndg.Angelo Mwoleka,yule mwandishi wa habari wa siku nyingi ambaye kwa sasa anaandika habari za utafiti katika gazeti la "-----".Mengi yatasikika katika hili,tuwe na subira
 
Nimepata taarifa
jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park
, taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana
lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu
aliyepoteza maisha .

Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama
hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa
Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea
Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama
Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona
na kutafakari .

Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu
huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya
ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .

Godbless J Lema

Nahisi huu uzi uko under 'mirror' sababu kuna vitu naandika afu vinafichwa,mods hebu niambieni kama ni makosa kutaja jina la gazeti humu jf ili nisirudie makosa
 
Wewe ndio umeuwa utaliii arusha huna la maana la kuwaambia wa tz peleka u.j.I.I.n.ga wako huko.
 
Satan ay work,Shindwa shetani ww, asa yeye Lema anaongoza Ars yenye matukio yanayoratibiwa na wendawazimu wenzako, je huyo anayeongoza nchi ambayo Ars yenye matukio ni sehemu yake tumsemeje.

ur a qualified and experienced satan' kabla hajawa mbunge, ars ulikuwa mji wa neema. Tangu amekuwa mbunge umekuwa mji wa majanga! Ana nuksi, na wewe ni nuksi mwenzake. Wakati alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo, ars ikatangazwa kuwa jiji. Mini Kabang nyie!
 
hebu mweleze bhana, ni bora ajiuzulu tu jamani, tumemchoka mbaya....
 
Lema wewe ni mbunge hopeless kabisa. Sishangai kusikia kuwa hata hili la MTK bar ulishiriki ili upate namna ya kutoka.
 
ur a qualified and experienced satan' kabla hajawa mbunge, ars ulikuwa mji wa neema. Tangu amekuwa mbunge umekuwa mji wa majanga! Ana nuksi, na wewe ni nuksi mwenzake. Wakati alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo, ars ikatangazwa kuwa jiji. Mini Kabang nyie!

Kwa akili zenu hizi mtapotea sana vibaraka nyie, mnataka wezi waendelee kuiibia nchi kila leo, Lema kiboko yenu na Arusha mtaendelea kuiskia hivyo hivyo, mtaishia kuwaua na mabomu wana Arusha lakini wameshawatambueni mashetani wakubwa ccm.
cc. Mkuu ya kaya
 
Last edited by a moderator:
Wewe mpuu.zi saana!.. Ulitaka aseme nini?

Ina maana ktk matukio yote yanayotokea kila siku ni hilo bomu ndio kaona la kutolea tamko?
Haya niambie baada ya yeye kuileta hii habari yake uchwara Je lile bomu limefutika kwenye vichwa wa waathirika!
Kilaza wewe.
 
matusi yako hayabadilishi kuwa godless lema ni janga kwa taifa hili.
Call spade a spade hakuna matusi hapo.Ulitaka nikwambieje kwani uwezo wako ndo ulipofikia wa kukejeli waliovuja damu.Nimewauliza nyie wapangaji wa ujinga ndani ya bongo zenu Ars ni nchi?Kama siyo jee mtawala wa nchi hii tumsemeje kwa majanga yanayotokea ktk nchi anayotawala!Je hayo mauaji ya Musoma ni Lema yupo pale!
 
ur a qualified and experienced satan' kabla hajawa mbunge, ars ulikuwa mji wa neema. Tangu amekuwa mbunge umekuwa mji wa majanga! Ana nuksi, na wewe ni nuksi mwenzake. Wakati alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo, ars ikatangazwa kuwa jiji. Mini Kabang nyie!
Hizi zote unazoonesha hapa its among tendencies of a ga.y so who to blame, bcause you are the one who entertain such situation.Zinduka kubali matokeo ili uwe huru kwa Mungu uweze kutembelea hata nchi ya Uganda.
 
We lema nawe huuishiwi viroja?
Ni kweli Bomu limelipuka na watu kujeruhiwa lakini unaposema ni majaribu kwa lema ina maana wewe kila kitu ni siasa.

Acha kujenga picha usiyoiweza tangu lini wewe ukawa Msemaji wa Vyombo vya Usalama?

Lema jiangalie sana
Mambo ya Usalama wa Raia sio wa kuja kubwabwaja huku jamii forums wakati hujui hata 1/3 ya tukio.

Sidhani kama hapo ameongelea siasa,
Hata hivyo kuna udhaifu sana katika vyombo vyetu vya usalama katika kufuatilia matukio ya kihalifu,
Hivi mpaka leo tunamaliza mwaka jeshi letu halijaweza kuwakamata wahalifu wa tukio la mabomu ya kanisa katoliki Olasiti,
Tuna jeshi la polis,usalama wa taifa,na hao wote wanalipwa kwa kodi zetu,nafikiri ungewaandama hao kuacha siasa katika masuala ya usalama wa raia kwani yeye Lema siasa ndio kazi yake,na hakuna maisha bila sisa.
Tukio la soweto katika mkutano wa CDM sijasikia jitihada zozote zaidi ya ukimya wa kukatisha tamaa ilhali kuna watu walipoteza maisha na wengine walipata ulemavu wa kudumu,hivi kama serikali kupitia jeshi la polisi hawawezi kukamata wahalifu nani atakaeweza kazi hiyo?Tafakari chukua hatua,wananchi wamebaki yatima,hakuna wa kuwatetea.
 
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.
Kwa akili hizi za Nyumbu wewe ni laana ktk nchi...Gundu ingekuwa natural calamities na accidents...ila haya mambomu sio accidents ni mipango ya watu waoga,maharamia na mashetani..tumia akili ili nisikufaninishe na Mbwa wangu.Mbwa wangu wenyewe wana akili kuliko wewe..hata njiani wakiona watu wananizongazonga, huanza wanusanusa kwanza kusoma dalili za adrealine..lakini bado hukaa aler..wakisukuma tuu mbwa wanao...hapo ni njia..fikiria nyumani..Halfu jiulize wewe unafanya nini kwa watu wanaofanya haya mambo baada ya kushindwa ktk kura,sheria na hata ushawishi.
 
Arusha chini ya uongozi wako imeshuhudia umwagaji wa damu na vifo vya kipuuz na visivyo tarajiwa kutokana na aina ya siasa unayoifanya wewe kihiyo

Ni wazi sasa wana arusha wamejifunza kutokana na makosa na kutorudia kufanya selection ya mbunge hopless kama wewe

Ni wazi pia arusha ni kambi ya chadema,basi sio lazima wawape CCM no,wampate mbunge mzuri sampuli hata ya tundu lisu

Lakini si sampuli ya hovyo kama wewe,

Arusha ni mji mkuu wa utalii baada ya zanzibar katika nchi hii,lakin sasa ndan ya uongoz wako sekta yote ya utalii imekufa natural death

Fanya fanya uondoke zako,uongozi chini yako ni laana...

Mtwara alikuwa Lema?mpaka leo kuna det ya wanajeshi, au ndo akili za maccm zilivyo?
 
Back
Top Bottom