Majambazi yafanyiza temeke... yadaiwa kuua daktari

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Ni siku chache tangu majambazi yalipofunga mtaa wa kingugi kata ya mbagala wilaya ya Temeke, leo hii asubuhi majambazi kwa mala nyingine wilayani temeke wamemuuwa kwa risasi Daktari wa hosp ya wilaya ya Temeke,

Najiuliza kamanda Misime kulikoni temeke?
 
Usarama temeke??/??
Angalia hiyo heading!

Otherwise hayo ni matukio ya kutisha sana!...pole familiza waathirika.
 
Ni siku chache tangu majambazi yalipofunga mtaa wa kingugi kata ya mbagala wilaya ya Temeke, leo hii asubuhi majambazi kwa mala nyingine wilayani temeke wamemuuwa kwa risasi Daktari wa hosp ya wilaya ya Temeke,

Najiuliza kamanda Misime kulikoni temeke?

kama dora kira siku inapanda na iyo hera ya madafu aipatikani na uonevu wa maporisi unazidi na hakuna wa kusaidia kutoka serikari unategemea nini?

mimi nachikia kweri ujambazi rakini kwa hari irivyo porisi wanayo kazi.
 
Sasa tufanyeje? ulinzi shirikishi inasaidia?
 
Afande mwema hakikisha vinjana wako kakuna kurara mpaka wapatikane hawa waharifu sasa waua dakitari wanini au dakitari alikuwa anawajua? vinginenyo hizi mutu zatakiwa zifanyiwe kile gadafi alifanjiwa "kakijiti"
 
Ni siku chache tangu majambazi yalipofunga mtaa wa kingugi kata ya mbagala wilaya ya Temeke, leo hii asubuhi majambazi kwa mala nyingine wilayani temeke wamemuuwa kwa risasi Daktari wa hosp ya wilaya ya Temeke,

Najiuliza kamanda Misime kulikoni temeke?

Usitumie hiyo ndugu yangu ningekupm lakini bahati mbaya watu washatumia
lugha ya kejeli bila kujali uzito wa ulichowasilisha, hiyo inaandikwa MARA.
 
Back
Top Bottom