Majambazi wawili wauawa na polisi Mikocheni karibu na Feza sekondari

Nyie watoto wa siku hivi hamna heshima kabisa.
Andrew unamuita kilaza?
The Pilot. Pilot mzima unamuita kilaza?
Dogo nenda katambike una laana . Kama huna basi kwenu mna laana
Na mimi nimeshangaa sana!!Tena afadhali angekuwa kwa "fake ID".Sasa mtu ni "verified User" tena mtu mzima bila sababu unamuita kilaza.

Hawa watoto wanatuvunjia sana heshima humu jukwaani.Wengine hawajui tu;kabla hatujaamua kuwa na ndoa rasmi...Hatukuwa rasmi na Mama zao.Amenikwaza mimi pia
 
Na mimi nimeshangaa sana!!Tena afadhali angekuwa kwa "fake ID".Sasa mtu ni "verified User" tena mtu mzima bila sababu unamuita kilaza.

Hawa watoto wanatuvunjia sana heshima humu jukwaani.Wengine hawajui tu;kabla hatujaamua kuwa na ndoa rasmi...Hatukuwa rasmi na Mama zao.Amenikwaza mimi pia
Hili tatizo limesababishwa na Yericko "Nyerere"
 
Ahsante kwa taarifa Andrew. Watu hao wanao ku challenge na kama ni waandishi wakatafute magazeti.

Na wanapoandika we ni kilaza wasamehe tu!
 
Namsahihisha yule anayesema mimi nimewashajiisha watu kuandamana.
Mimi sijawaambia watu kuandamana

Kuhusu wale majambazi walikuwa takriban kumi ndani gari. Wanawake wawili.
Wale wanawake nimesikia inasimuliwa " mmoja amekamatwa, mmoja amesepa"(amesepa bila shaka ina maana ametoroka".
Majambazi walipofika polisi walikuwa wanawasubiri. In fact walikuwepo polisi takriban ishirini wanaranda eneo lile toka Ijumaa wanalisubiri hili tukio.
 
Majambazi wawili wameuawa na Polisi maeneo ya Mikocheni karibu na Feza sekondari, walitaka kuwaibia Wachina.

View attachment 454231

Kati ya hao majambazi yupo jambazi wa kike na amejisalimisha kwenye mkono wa dola, huyu jambazi ndiye alikuwa dereva wao.

Majambazi wengine bado wanatafutwa.

Taarifa zaidi zinasema askari wamefanya patrol kwa wiki nzima hadi kufanikiwa kuwanasa majambazi hawa.

View attachment 454222

View attachment 454227

View attachment 454228
Andrew JF kunamashetani awajui ahsante usikilizewanachokutuhumu awawengine washazoea kudesa mpakavyuoni awaelewi wanapewadegreefamba
 
Back
Top Bottom