Majambazi watano wauawa jijini Dar; Tabata

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Previously:
Mtambuzi said:
Mwenye taarifa kamili atujuze...................

Kama Dakika 30 zilizopita, tukio la wizi wa kutumia silaha limetokea maeneo ya Tabata Sanene karibu na Tusiime Sekondari ambapo mfanyabiashara ya M-Pesa alipigwa risasi ya mkono na kuporwa mfuko wa pesa mara baada ya kufunga duka lake.

kiasi cha pesa kilichoporwa hakijafahamika.

Nilibahatika kupiga hiyo picha ambapo mfanyabiashara huyo alikumbilia duka la jirani yake kufuata mwanga wa taa bila shaka ili kujiangalia amejeruhiwa kiasi gani.

majambazi yalitoweka na raia walikua wakikimbia hovyo.
 
Attachments

  • DSC00574.JPG
    DSC00574.JPG
    34.6 KB · Views: 334
I was waiting that you would give us full details with your colourful writing.
 
Mbona mkuu unauliza kama vile unazo habari ? Thread yako iko ndivyo sivyo
 
Nnachojuwa vijana kutoka Sudan wameuliwa kwa kucha tatu za mnyama mkali huko Temeke Dar.
 
mtambuzi

wewe ni nguli humu jamvini na miiko ya uandishi unaijua vyema, sasa sitegemei kama mkuu mwenzangu waweza leta habari imevaa kimini namna hii hata chupi inaonekana

Hebu setiri habari yako basi tuendelee kukuheshimu mkuu mwenzangu, usiwape sababu cheichei wawe na pwenti of reference when it comes to poor information sharing

UPDATE:
Thank you for updating your first post... nimekusoma
 
mtambuzi

wewe ni nguli humu jamvini na miiko ya uandishi unaijua vyema, sasa sitegemei kama mkuu mwenzangu waweza leta habari imevaa kimini namna hii hata chupi inaonekana

Hebu setiri habari yako basi tuendelee kukuheshimu mkuu mwenzangu, usiwape sababu cheichei wawe na pwenti of reference when it comes to poor information sharing

Nilikuwa mahali nikasikia watu wakisema kuwa kuna majambazi watano wameuwawa hapa jijini Dar, kwa kuwa najua hapa JF ni chanzo kizuri cha habari, nikaona ni vyema niulize kama kuna mwenye habari kamili...........au nimekosea namna ya kuuliza....................?
 
Aaah mpwa vipi tena mbona unaniangusha? au ulimaanisha wale majambazi nane waliotajwa pale idodomya? kama ni wale basi ujue wako hai bado
 
Aaah mpwa vipi tena mbona unaniangusha? au ulimaanisha wale majambazi nane waliotajwa pale idodomya? kama ni wale basi ujue wako hai bado
Hizi habari nimezisikia leo hapa Dar..........majambazi watano wameuwawa leo hapa hapa Dar na si Dodoma.................
Bado nafanya udadisi kupitia vyanzo mbalimbali vya habari ili kuthibitisha habari hizo.....................
 
Nilikuwa mahali nikasikia watu wakisema kuwa kuna majambazi watano wameuwawa hapa jijini Dar, kwa kuwa najua hapa JF ni chanzo kizuri cha habari, nikaona ni vyema niulize kama kuna mwenye habari kamili...........au nimekosea namna ya kuuliza....................?

Yaani bado hujagundua kama umekosea namna ya kuuliza?
Au ndo unamaalizia weekend mkuu?
 
Yaani bado hujagundua kama umekosea namna ya kuuliza?
Au ndo unamaalizia weekend mkuu?
Hizi Valuu leo zimenifanya vibaya..................haya umeshaelewa kwamba nilikuwa nauliza............kama unazo taarifa kamili, basi ziweke hapa....................
 
Poleni sana mkiwapata waadhibuni tu halafu tutawafuata na wale waliotajwa kule idodomya
 
Kama Dakika 30 zilizopita,tukio la wizi
wa kutumia silaha limetokea maeneo
yaTabata Sanene karibu na Tusiime
Sekondari ambapo mfanyabiashara ya
M-Pesa alipigwa risasi ya mkono na
kuporwa mfuko wa pesa mara baada ya kufunga duka lake.

kiasi cha pesa kilichoporwa hakijafahamika.

nilibahatika kupiga hiyo picha ambapo mfanyabiashara huyo alikumbilia duka la jirani yake kufuata mwanga wa taa bila shaka ili kujiangalia amejeruhiwa kiasi gani.
majambazi yalitoweka na raia walikua wakikimbia hovyo.
Duh, Kumekucha.............wazee wa kazi weshaanza tena....
Uko wapi ulinzi shirikishi....................?
 
Am on the way napita hapo, wasije anza kuteka magari! Let me be strategic nyuma ya mabasi!
 
Nilikuwa mahali nikasikia watu wakisema kuwa kuna majambazi watano wameuwawa hapa jijini Dar, kwa kuwa najua hapa JF ni chanzo kizuri cha habari, nikaona ni vyema niulize kama kuna mwenye habari kamili...........au nimekosea namna ya kuuliza....................?

thanks mkuu
k
wahiyo wameuwawa watano?
 
Back
Top Bottom