Majambazi sita wauawa huko singida

Mshahara wa dhambi ni mauti, hawa wamepata walichositahili. Cha muhimu wawe kweli ni majambazi na sio majambazi wa kuchonga kama wale ndugu zetu wafanyabiashara ya madini wa mahenge
 
Nawapa hongera Polisi wetu kwa KUWAJAMBISHA WAZI MAJAMBAZI.

Ni habar zilizo tufikia hv punde zinasema majambazi sita yameuawa huko sekenke wilayani iramba katika mapambano makali na jesh la polisi. Majambazi hayo yalikua na silaha za moto ikiwemo smg iliyokutwa na risasi zaidi ya 100 na mabumu 6. Aidha kati ya majambazi hayo watano ni raia wa burundi na m1 ni mtanzania. Majambaz hayo yamenaswa kwenye mtego wa polisi kwa msaada mkubwa wa polis jamii. Source itv brkng newz.
 
Mkuu ingekuwa wameshikwa na bakora au mapanga tungeuliza kwanini hawakushikwa hai..!!
Lakini watu wameshikwa na SMG zenye risasi na mabomu sita unataka washikwe bila kuuwawa....?

VOR;
Hoja yako nai-support mia kwa mia, halafu yaani argument ya jamaa imenichanganya mawazo. Natamani angalau hao majambazi wafufuke halafu afe yeye. Angekuwemo yeye kwenye gari, au ndugu zake, angeweza kweli kusema haya anayoyasema sasa hivi? Au na yeye ni jambazi? Alitaka askari wafe ndiyo afurahi? Huyu anatakiwa a-apologize!
 
<br />
<br />
siungi mkono watu kuuawa, hivi jeshi letu la polisi linashindwa njia ambazo wanaweza kutumia kuwanasa waarifu bila kuwauwa? Hii kasumba ndio inayofanya jeshi la polisi kuuwa raia hovyo hovyo. Kuuwa majambazi sio sifa bali ni ukosefu wa maarifa na mipango madhubuti ya kupambana na uhalifu. Shame on you mnaotetea polisi kuuwa majambazi.

Mkuu ingekuwa wameshikwa na bakora au mapanga tungeuliza kwanini hawakushikwa hai..!!
Lakini watu wameshikwa na SMG zenye risasi na mabomu sita unataka washikwe bila kuuwawa....?

VOR;
Hoja yako nai-support mia kwa mia, halafu yaani argument ya jamaa imenichanganya mawazo. Natamani angalau hao majambazi wafufuke halafu afe yeye. Angekuwemo yeye kwenye gari, au ndugu zake, angeweza kweli kusema haya anayoyasema sasa hivi? Au na yeye ni jambazi? Alitaka askari wafe ndiyo afurahi? Huyu anatakiwa a-apologize!
 
Ni habar zilizo tufikia hv punde zinasema majambazi sita yameuawa huko sekenke wilayani iramba katika mapambano makali na jesh la polisi. Majambazi hayo yalikua na silaha za moto ikiwemo smg iliyokutwa na risasi zaidi ya 100 na mabumu 6. Aidha kati ya majambazi hayo watano ni raia wa burundi na m1 ni mtanzania. Majambaz hayo yamenaswa kwenye mtego wa polisi kwa msaada mkubwa wa polis jamii. Source itv brkng newz.

Mimi naona hapa lazima kuna kila dalili za uongo. naamini wazi bila shaka Polisi waliwavamia majambazi hayo wakti wakijiandaa na kuwapiga risasi lakini siamini kama kulikuwa na majibizano ya risasi na polisi.

kama walijibizana ni polisi wangapi waliuawa au kuumizwa katika kadhia hiyo. naamini ni yale yale ya Zombe na wafanyabiashara.

Hakika Polisi haruhusiwi kabisa kuuwa watuhumiwa kwa mujibu wa sheria za nchi yenu ambayo inafuata rules of law. Hilo ni kosa kwa polisi kuuwa na inabidi wanchi wote wa huko Tanzania mlikemee kwa nguvu zote. Kwani leo kwa mwenzako na kesho kwako.
 
Ujambazi umerudi kwa kasi hasa wa pikipiki mikoa ya singida na manyara hali ni mbaya sana serikali iliangalie haraka iwezekanavyo
 
Back
Top Bottom