Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

"...Watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi...."

Maneno stahiki kwenye taarifa Kama hizi ni muhimu sana.
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Kwenye vita hamna namna ya kuwakamata unaopigana nao. Vinginevyo uwashike mateka. Au una maana kwamba ni rahisi kuwaambia mikono juu na wakatiii?
 
Mbona waharifu wakiua raia tunaona picha za matukio hata damu tunaziona sasa upande wa pili vielelezo ni vingi mno
 
Wanapeleka watu kule na kuwapiga risasi na kuwawekea bunduki na silaha halafu wanajitekenya kuwa tumeua majambazi kibiti. Ndio tatizo la afrima uongo mwingi kwa kuogopa kufukuzwa kazi. Kwani unafukuzwa kazi pasipo hata kuchunguza kosa. Hakuna majambazi ambao tunaambiwa ni waliobobea na wamepata mafunzo nje leo hii wakae pmj. Watu wanapelekwa kibiti wanauwawa then polisi wanasingizia majambazi wa kibiti. Tusubiri muda utasema ndio polisi tanzania
Tuondolee mashaka juu ya hili kwa kututhibitishia kwamba hawa waliouwawa walikuwa raia wema ili tupaaze sauti zetu dhidi ya polisi kitaifa na kimataifa!
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Huu ni unafiki! Ulitaka polisi wafanye nini, usiku porini? Ulitaka wawaamuru SIMAMA MKO CHINI YA ULINZI? Unadhani wangetii sheria bila shuruti? Stop being such a hypocrit! Umesahau majuzi tu waliua polisi with absolute no remorse halafu wewe unasema nooo thats not the way! Well done Siro!
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Mkuu, kajiunge na [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] mkawatetee. Unaambiwa kulikuwa na majibizano ya risasi wewe unasema polisi Waende kuwakamata! Jambo kama hilo nalo ni gumu kiasi hicho mtu kulielewa?
 
Imekuwa mwendo wa harusi siku hizi

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kama una haraka panda ndege. Bongo hakuna express ways kama mbele. Njiani kuna vijiji, mifugo na makazi ya watu kila mahali. Unadhani watadhibiti vipi? Barabara zenyewe sio standard, sharp corners na mashimo kibao, vitu ambavyo EW huwezi vikuta. Acha tochi zifanye kazi
 
mirisho pm hapa juu umenena,polisi why they cant arrest them na kuwapeleka mahakamani?watu kama kawaida yetu tunafurahia mihemko,je kama polisi wameua raia wema tutathibitisha vipi?kumbukeni wale wa pale sinza kumbe walikuwa wafanyabiashara sio majambazi.
Tumeomba mtusaidie njia za kukamata mtu anayekurushia risasi, hamtoi, bali mnatoa pvu tu humu. Unakamata vp watu wenye bunduki 8? Zabaf
 
Hivi kwenye mapambano inakuwaje hata polisi wasiumi japo kidogo? Mi siamini kupata taarifa za upande mmoja, kwanini kila siku tunasikia vifo? Kwanini huyo aliye wapeleka naye hatukumsikia akikili kuwa haya yanayosemwa ni kweli? Mimi siamini kuchukua ripoti ya upande mmoja, hatuna jeshi la polisi, mnaua watu hovyo na mnajitokeza kujisifia!!! Kamateni waharifu na sio kuwauwa jamani. Mkumbuke hakuna kitu kibaya kumwaga damu ya mtu, damu ikisha mwagika haitatuacha salama. Ikidai haki nani atakuwa tayari kuisimamisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
More and more extra judicial killings.
What a Godforsaken country this is!
 
Inamaana walienda na wapiga picha kabisa,pamoja na gloves za kushikia hizo bunduki za majambazi walikuwa na uhakika kabisa kwenda kuwamaliza Hao majambazi .

Ndio maana wengi wanasema hii ni movie
 
Hongera kwa jeshi letu kwa kazi nzuri.
Dawa ya moto ni moto!

Kila mkoa, Wilaya, kijiji, kata, tarafa, mtaa lazima msako wa wahalifu ufanyike ili wakose pa kujificha, tuwa fichue popote walipo.
 
Ndio maana uliferi shule hata kudefine majina huwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sentensi yako tu inaonyesha kiwango chako cha elimu/uelewa. Nani amekuambia hata hiyo shule nimeenda? Kwanza acha dharau. Nikikuambia elimu niliyonayo unaweza ukaniabudu

Mbali na hayo, unafahamu maana ya "define" au ndio 'shule uliyofaulu wewe" imeishia hapo?

Hivi bado tuko kwenye zama za kutambia dini/imani ya mtu kwa kuangalia jina lake?

Magufuli endelea kutoa elimu bure kwa watz coz kuna watu walinyimwa na awamu zilizopita halafu wanakuja kutupa tabu humu
 
Back
Top Bottom