Majaabu ya jina JK na jina Anna

Hapo ndio mwisho wake wa ufahamu wake. Tatizo la shule za kata hata anashindwa kuelewa nyerere alikua raisi wawapi.
Ndio urith wa sheikh yahya,,,,Sheikh John Mpiga Ramli.....aliharibu sana nchi...hiyo ndio ilimu ya kiwenda wazimu ..inayosomwa na wachawi,,
 
Khee,kumbe Nyerere alikuwa,rais wa marekani kabla hajakuja tanganyika
 
Zimwi la Tanganyika linamaliza akili za wenetu,jamani aliyeichukua msukule Tanganyika airudishe!
 
kuna kina anna kama ishirini hv nawafahamu wanasotea vbaya mno mtaa halaf unataka kutwambia nn ww angalia marais waliopo madarakani kwa Afrika mashariki tu wenye jk ni wangapi kama bangi vuta ila usivutie chooni............
 
Kwa taarifa yako, watu wenye majina ya ufupisho wa JK wamefanikiwa sana na kujulikana sana. Haya ni baadhi yao
Jakaya Kikwete - Rais wa Tanzania 2000's
Jommo Kenyata- Rais wa Kenya 1970's
Julius Nyerere - Rais Marekani 1960's
John Komba - Mbunge wa Tz 2000's
Joyce Kiria - Mjasiriamali Tz
Unaweza kuongezea na wengine. Ni the same na majina ya Anna kwa wanawake, mfano
Anna Mkapa
Anna Tibaijuka
Anna Makinda
Anna Kilango
Anna Abdallah
Anna Leliya Nkya
Unaweza ukaongezea na wengine.
HITIMISHO.
Jina unalompa mtoto lina mahusiano makubwa sana na mafanikio kwa hiyo kabla ya kumpa mtoto wako jina fanya utafiti wa hilo jina

This is the Me Me Me Generation.
Nonsense kabisa!
 
Kwa taarifa yako, watu wenye majina ya ufupisho wa JK wamefanikiwa sana na kujulikana sana. Haya ni baadhi yao
Jakaya Kikwete - Rais wa Tanzania 2000's
Jommo Kenyata- Rais wa Kenya 1970's
Julius Nyerere - Rais Tanzania 1960's
John Komba - Mbunge wa Tz 2000's
Joyce Kiria - Mjasiriamali Tz
Unaweza kuongezea na wengine. Ni the same na majina ya Anna kwa wanawake, mfano
Anna Mkapa
Anna Tibaijuka
Anna Makinda
Anna Kilango
Anna Abdallah
Anna Leliya Nkya
Unaweza ukaongezea na wengine.
HITIMISHO.
Jina unalompa mtoto lina mahusiano makubwa sana na mafanikio kwa hiyo kabla ya kumpa mtoto wako jina fanya utafiti wa hilo jina
Division 5 hawapotei, hivi umesoma shule gani vile?
 
juma kaseja
 
JF tamu sana kuna upumba wa watu wengine ukisoma mbavu hazina hali.
Kweli CCM ni kichaka cha bogus. People are flowing with research ana a bit investigatio.
Mwingine aliyepata mafanikio ni
JUATA KIGUNGE GOMBAREMWIRU
 
Back
Top Bottom