Maisha yako limited sana. Waliotumia fursa hii kushawishi urahisi wa maisha wamepiga sana pesa.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
■Wanasiasa wa ahadi feki
■Manabii wa kisasa
■Mashehe waponyaji wa kisasa
■Matapeli wa kuonganishia kazi
■Afisa wa TRA wa kitu kidogo
■Askari wa kitu kidogo
■Wasoma nyota
■Michango ya kanisa ya kila siku
■Wenye vituo vya kuzingua vya watoto yatima
■Wenye vituo vya kuzingua vya sober house
■Waganga wa jadi wale wa kutibu kila aina ya tatizo
■Akaunti feki mitandaoni za bidhaa bei ya chini
■Jamaa wanaojifanya pisi kali wenye bei rahisi mitandaoni
■Wauza bidhaa feki zenye nembo za bidhaa original

Sikufundishi uwe namna yoyote hapo juu ila ukweli ni kuwa tabu zetu ni fursa kwa wengine na wanafadika nazo huku tukibaki nazo.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
yah ni kweli mkuu kwa baadhi
 
Yes, absolutely
 
Uko sahihi kabisa. Haya makundi kwa Tanzania ndiyo yananeemeka. Ungeweza kuongeza 1. machawa wa kisiasa (au pengine umewaweka kwenye kundi la wanasiasa wa ahadi feki?), 2. ''wasanii'' wanawake wenye sura nzuri walioficha udangaji kwenye kivuli cha usanii. 2. wauza dawa mbadala na bidhaa za urembo mbadala.
 
Kabisa mkuu

Back
Top Bottom