Maisha ya Mtz......So Sad!!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
3.jpg
...........
 
Hurt me with de TRUTH.Dont comfort me with a LIE
3 things cant be long hidden: the sun, the moon & the truth.
 
mama ni mama siku zote...!!! Hivi hawa dot com wa sku hizi wanaotupa watoto chooni kama pedi wanaweza hizi swaga...!!!?
 
mama ni mama siku zote...!!! Hivi hawa dot com wa sku hizi wanaotupa watoto chooni kama pedi wanaweza hizi swaga...!!!?

MkuuMENTION=hizo swaga hawaziwezi kulea mimba ni shidakwao hata ukikubali kumpa kila kitu eti atakosa soko.
 
mama ni mama siku zote...!!! Hivi hawa dot com wa sku hizi wanaotupa watoto chooni kama pedi wanaweza hizi swaga...!!!?
you are going from one extreme to another. mume wa huyu mama yupo wapi? je baba haumii wanae wakiwa ktk mazingira kama hayo, uanaume wake upo wapi?? Uanaume upo kwenye kuprovide familia sio kuzalisha watoto
 
Duuh safety measure hakuna kabisa.....ndio maana siwezi kuwa super woman, hii ni kazi ya baba ni sio ya mwanamke. Ulezi wa watoto ni fulltime job.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom