Maisha ya Egypt

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hivi kuna mtu anajua maisha ya Misri yakoje?

Kulindanisha na Dubai

mwenye kujua naomba atufahamishe maana ndio watu wanataka kuhamia huko mwa ma firauni au nchi ya firauni (PHARAOHS)
 
Brazameni ni mwaka kamili tangu tukuone JF mara ya mwisho kabla ya leo.

Vipi hali yako? Karibu tena.

Tofauti za Egypt na Dubai:

Cairo ni mji mkubwa na wakizamani, Dubai ni mji mdogo sana (ukilinganisha na Cairo).
Egypt inaendeshwa na wa Egypt wenyewe katika kila nyanja, Dubai ni wageni kutoka nchi tofauti duniani. Kwa hiyo Dubai ni multi cultured city na Egypt ni mono cultured city.

Egypt ni wajanja wa maneno na utapeli, they can do anything to get the money except harm you physically. Ujanja huo Dubai hakuna.

Polisi na watu wa usalama wa Egypt ni washenzi sana (wakati wa Mubarak, sidhani kama wamebadilika) na sheria mkononi wanaweza wa kaku harass bila ya sababu. Wa Egypt hawapendi sana wageni.

Dubai hakuna harassment na usalama ni wa hali ya juu na wanaoishi Dubai wengi ni wageni, kwa hiyo ukifika hujulikani kama mgeni.

Dubai gharama za maisha kama nyumba, social, entertainment zipo juu sana kulinganisha na Egypt. Egypt ni uwezo wako, unaweza kuishi upendavyo, kikawaida kwa gharama ndogo au kifahari kwa gharama kubwa.

Cairo ni mji mzuri wa kuishi ikiwa una kazi yako nzuri na inakulipa vizuri lakini sio mji ambao unakwenda kutafuta kazi. Ni mji ambapo uende tayari una kazi za kufanya. Dubai unaweza kwenda kutafuta kazi.

Population ya Cairo ni kubwa sana na watu ni wengi sana kwa hiyo tegemea foleni za magari za hali ya juu. Kelele za honi na watu haziepukiki baadhi ya sehemu (kwingi).

Kwa uchache, Dubai na Cairo (Egypt) ni vitu viwili tofauti.
 
Brazameni ni mwaka kamili tangu tukuone JF mara ya mwisho kabla ya leo.

Vipi hali yako? Karibu tena.

Tofauti za Egypt na Dubai:

Cairo ni mji mkubwa na wakizamani, Dubai ni mji mdogo sana (ukilinganisha na Cairo).
Egypt inaendesha na wa Egypt wenyewe katika kila nyanja, Dubai ni wageni kutoka nchi tofauti duniani. Kwa hiyo Dubai ni multi cultured city na Egypt ni mono cultured city.

Egypt ni wajanja wa maneno na utapeli, they can do anything to get the money except harm you physically. Ujanja huo Dubai hakuna.

Polisi na watu wa usalama wa Egypt ni washenzi sana (wakati wa Mubarak, sidhani kama wamebadilika) na sheria mkononi wanaweza wa kaku harass bila ya sababu. Wa Egypt hawapendi sana wageni.

Dubai hakuna harassment na usalama ni wali ya juu na wanaoishi Dubai wengi ni wageni, kwa hiyo ukifika hujulikani kama mgeni.

Dubai gharama za maisha kama nyumba, social, entertainment zipo juu sana kulinganisha na Egypt. Egypt ni uwezo wako, unaweza kuishi uoendavyo kikawaida kwa gharama ndogo au kifahari kwa gharama kubwa.

Cairo ni mji mzuri wa kuishi ikiwa una kazi yako nzuri na inakulipa vizuri lakini sio mji ambao unakwenda kutafuta kazi. Ni mji ambapo uende tayari una kazi za kufanya. Dubai unaweza kwenda kutafuta kazi.

Population ya Cairo ni kubwa sana na watu ni wengi sana kwa hiyo tegemea foleni za magari za hali ya juu kwa. Kelele za honi na watu haziepukiki baadhi ya sehemu (kwingi).

Kwa uchache, Dubai na Cairo (Egypt) ni vitu viwili tofauti.

DAda Faizy,

Thank you very much. we have learned a lot. You could not do bettter than what you have given us!! Bravo
 
Jamani nina swali kidogo msinicheke,hivi Dubai ipo kwenye nchi gani,mana yenyewe ndo kama inajulikana zaidi
 
Jamani nina swali kidogo msinicheke,hivi Dubai ipo kwenye nchi gani,mana yenyewe ndo kama inajulikana zaidi

Dubai ni nchi katika muungano wa nchi ndogo ndogo za ma "Amir wa Kiarabu" au United Arab Emirates (UAE), saba. UAE inaunganisha Abudhabi, Ajman, Dubai, Fujairah, Ras al Khaimah, Sharjah na Umm 'L Khuwain (Ummu al Quwain), mji mkuu wa UAE ni Abudhabi. Ziliungana mwaka 1971.
 
Thanks much,yaani nilishafika na hata sikujua hayo
 
Katika post zote za jf hiindiyo nimeona ya maana tangu Faizafoxy aanze kupost zingine zinanichefua especially kwenye jukwaa la siasa
 
Back
Top Bottom