FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,872
- 109,170
Unauhakika gani huyu mtu ni dada?
Hupendi? niite kaka kama kuitwa dada imekuuma. Yaani we dada una wivu sana, mumeo yupo mashakani kuwaonea wivu wanawake wenzako hata wanapoitwa dada. Yatakushinda!