MAISHA: Uzuri wa mke ni tabia. Je, uzuri wa mume ni nini?

Awe mrefu, six pack, mkwanja wa kutosha na kumsikiliza mwenzake kwa mahitaji yake yote ya matumizi
 
Uzuri wa mwanaume n kumjali mke wako na kumpa nafasi pia maan wanaona wanawake hutakiwi kumpa ushauri dharau nyingi
 
Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini. Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume.

Ninajua kila mwanamke anakuwa na vigezo vyake binafsi vya kuchagua mume anayefaa.

Naomba waungwana kujuzwa endapo kuna vigezo vinavyoweza kuangaliwa na wanawake kupima uzuri wa mume.

Nawasilisha.

Uzuri wa mume pesa ili aweze tunza familia
 
Mwanaume, waume wa wake zetu, ni kama sisi. Tunaojua uzuri wa mke kuwa ni tabia. Tabia hapa ina maana ni pamoja na kumuelewa mmeo kwa namna zote.

Kila mwanamme yuko tofauti, ndiyo maana hakuna kitu kama uzuri wa mme ni kitu fulani...! Mwanamke ni DEPENDENT parameters na mwanamme ni FACTOR (deciding).

Kwa hiyo acha maneno yako kabisa ya uzuri wa mwanamme!
kwenda bank ku deposit na kutoa
 
Kwanza iyo sifa ya tabia uliyo itoa ilikuwa zamani. Siku hizi wanaangslua uzuri wa sura. Tabia mnanyooshana ndani ya ndoa nikija kwenye maada ni hivi uzuri wa mwanaume ni kuwa na hela za kutosha kuimudu familia yake vinginevyo ndoa itakuwa na pilika nyingi saaana yaaaaani ndi.....ndi....ndiiiii
 
Back
Top Bottom