papason JF-Expert Member Sep 14, 2010 5,119 5,683 Jun 25, 2012 #2 Je una msuri na unaweza kupiga 'roba za mbao?' Kama ndio ni PM fasta! ila raia wakikudaka wanakupiga kiberiti!
Je una msuri na unaweza kupiga 'roba za mbao?' Kama ndio ni PM fasta! ila raia wakikudaka wanakupiga kiberiti!
R Rebel volcano JF-Expert Member Jun 1, 2012 403 86 Jun 25, 2012 Thread starter #3 hilo wazo sio papason labda lete wazo jengine! tuandamane ama??!! mada kuu ukali wa maisha!
Ginner JF-Expert Member May 8, 2011 1,459 1,834 Jun 25, 2012 #4 Unaresources lakini umeikalia...na bado unasema maisha magum mkuu.....use ur resources effectively