maisha magumu kinoma!!!

Je una msuri na unaweza kupiga 'roba za mbao?'
Kama ndio ni PM fasta! ila raia wakikudaka wanakupiga kiberiti!
 
hilo wazo sio papason labda lete wazo jengine!
tuandamane ama??!!
mada kuu ukali wa maisha!
 
Unaresources lakini umeikalia...na bado unasema maisha magum mkuu.....use ur resources effectively
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom